Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Ngoja ni ihuishe hii thread naona wengi hawajaiona.Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa
Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo
Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa
Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo
Muoga angesimama tuHii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa
Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo
masuala ya vyuma noma sanaTunakoelekea kuna "trafiki" atagongwa na huku kwetu maana vyuma vimekaza halafu wao wanaendelea kututoa hizo 30,000 kama sadaka
Tupo busy na CCM jamani.