Video: Diamond aanguka jukwaani, akimbizwa Dar kwa matibabu

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,822
Wakuu naangalia Tamasha la wasafi huko sumbawanga kupitia channel ya wasafi media lakini nimeona ghafla jukwaa limegeuka chini juu. Na baadhi ya wasanii kutumbukia Kisha ghafla matangazo yakakatika Je Diamond platnumz yu hali gani?
 
Kwa hiyo katika wote hao wee umemwona diamond tuu kwani alikuwa pekeake hapo jukwaani?
 
Badala uulize victims wangapi unauliza diamond kwani alikuwa mwenyewe
Rais anapokuwa na Ulinzi maalum sio kuwa wananchi wengine hawapaswi kulindwa la hasha ni kiongozi na kunakuwa na umuhimu wa pekee kwa hilo.
 
Mimi nimemuona yeye natumai nawe utanijulisha wengine ulio waona wako katika haki gani baada ya tukio hilo.
Kwa hiyo katika wote hao wee umemwona diamond tuu kwani alikuwa pekeake hapo jukwaani?
 
Mimi nimemuona yeye natumai nawe utanijulisha wengine ulio waona wako katika haki gani baada ya tukio hilo.
Mi huko wala sijui nini kinaendelea maana sio mshabiki wa miziki ya bongo fleva.
Ngoja mashabiki waje labda wana cha kusema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajua mondi ilibidi mapema asepe maana figisu figisu za wazee wa ndumba zilianza tokea jana sasa leo tega wameangusha jukwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu naangalia Tamasha la wasafi huko sumbawanga kupitia channel ya wasafi media lakini nimeona ghafla jukwaa limegeuka chini juu. Na baadhi ya wasanii kutumbukia Kisha ghafla matangazo yakakatika Je Diamond platnumz yu hali gani?
wachawi hamuachi kuloga, unaleta uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…