Video: Diamond aanguka jukwaani, akimbizwa Dar kwa matibabu

Rudia ulichosoma halafu tumia akili na moyo wako kisha uondoe chuki isiyo na maana sabbu haikusaidii kitu.
Just do ua best to archive ua goal utasikika tu kama yeye.!
To ARCHIVE? Nigga! Like seriously? Did u even go to school? Au ngumbaro! Au uko MEMKWA???

My Goal? Oh come on! Give me a break Jackass!

I hate no sucker, I dont buy shits neither!
 
[emoji28][emoji38][emoji38][emoji28] daah nilisahau kuwa umezaliwa mitaa ya London hivyo unajua kiingereza kuliko waingereza wenyewe na bahati njema umepita kwenye Shule za kiingereza pia.

Usijali mimi sijabahatika kwenda shule kabisa labda sasa ninapata wazo la kwenda huko MEMKWA.
Namkubali Diamond sabbu ni mswahili mwenzetu katika mazingira yetu na Nchi yetu sio nyinyi wazungu koko.!
Hivyo tafadhari mnaweza endelea na maisha yenu ya uingereza. Nahisi hata hili jukwaa utakuwa umevamia tu na huu uzi haukuwa kwa ajili yako sabbu sisi Watanzania kwa Asili ni watu wa upendo amani na kujaliana sio kama nyinyi wazungu wa uingereza.

Hilo jukwaa aliyetengeneza lazima atakuwa ni mwanaume wa Dar
 
Unamsapoti kwakua ni "mswahili mwenzako" sio? Na sio kwakua anamake sense?
That says it all!

Goodday loser!
 
[emoji28] unajisikia amani sasa!?
Karibu Tanzania utakutana nasi Watanzania tupo zaidi ya milion 50 sasa tunapenda vya kwetu na kuheshimu kazi zao!
Zijapoonekana ni upuuzi na ushenzi kwao.
Tutazienzi na kuziheshimu nyumbani. Maana hiyo ndio fahari yetu.

Kwanza si jambo geni babu zao walipokuja kwetu karne ya 18 waliita lugha zetu za kishenzi, ngoma zetu za kishenzi, na hata wasanii wetu waliwaona kuwa washenzi walitukuza ngoma na tamaduni zao wakizitweza za kwetu.
Leo hii wameondoka lakini wameacha vitukuu vyao, ambao bado wanaamini kuwa lugha yao eti ni bora kuliko lugha yetu, wakiongea lugha ya watu kutoka mbali hubetua midomo kwa kogo! Wakiamini wamepata.

Hawajui kuwa wamepotea hawana wanakokwenda wala wanakotoka. Wakija shtuka hawako peponi wala kuzimu.!

Uwe na siku njema.

Salute kwako mkuu. You're such a humble, bright, clever & charismatic guy
 
Heshima yako, hakika umeandika ukweli mnoo wengi imetugusa.

Hongera mnooo.
 
Lakini aligunduaa mapema ila akajisahau na mizukaa make niliona ata babu tale alifika kuona hiyo sehem kama ambavyo diamond alionesha kuwa na mashaka napoView attachment 962039
Ukiachilia uimara mbovu wa jukwaa kuna kitu kisayansi kinaitwa "Resonant frequency" tumefundishwa wakati tupo JKT kambini na inatumika sana ukitaka kuvuka daraja lazima ufanye Matching ,Tatizo ndio naliona hapo ELimu Elimu Elimu domo na mwenzake wangekuwa wanajua what is resonant frequency wasingerukaruka hovyo hapo kwa stage.
 
Kuna sehemu pia za kilaji ....vmejengwa vigorofa vya mti huko juu utakuta watu wamejaa wanacheza kwa kurukaruka mpk sehemu inatingishika.....
Hyo sehemu(Jina naweka kwenye mabano)
Ipo siku litashuka na walevi wote [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Aisee
Mizimu haitaki makelele walahi
 
[emoji28][emoji38][emoji38][emoji28] daah nilisahau kuwa umezaliwa mitaa ya London hivyo unajua kiingereza kuliko waingereza wenyewe na bahati njema umepita kwenye Shule za kiingereza pia.

Usijali mimi sijabahatika kwenda shule kabisa labda sasa ninapata wazo la kwenda huko MEMKWA.
Namkubali Diamond sabbu ni mswahili mwenzetu katika mazingira yetu na Nchi yetu sio nyinyi wazungu koko.!
Hivyo tafadhari mnaweza endelea na maisha yenu ya uingereza. Nahisi hata hili jukwaa utakuwa umevamia tu na huu uzi haukuwa kwa ajili yako sabbu sisi Watanzania kwa Asili ni watu wa upendo amani na kujaliana sio kama nyinyi wazungu wa uingereza.
Mtumeee
 
Kuna sehemu pia za kilaji ....vmejengwa vigorofa vya mti huko juu utakuta watu wamejaa wanacheza kwa kurukaruka mpk sehemu inatingishika.....
Hyo sehemu(Jina naweka kwenye mabano)
Ipo siku litashuka na walevi wote [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Hahahahaaaa
 
V
Rudia ulichosoma halafu tumia akili na moyo wako kisha uondoe chuki isiyo na maana sabbu haikusaidii kitu.
Just do ua best to archive ua goal utasikika tu kama yeye.!
Very true!
 
Back
Top Bottom