Video: Diamond aanguka jukwaani, akimbizwa Dar kwa matibabu

Video: Diamond aanguka jukwaani, akimbizwa Dar kwa matibabu

Wakati akiwa jukwaani akiperform huko Sumbawanga, ghafla jukwaa lilivunjika lakini kwa bahati nzuri hamna aliyepoteza maisha zaidi ya Diamond kuteguka kiuno na hivyo kuwaishwa Dar kwa helkopta kwa matibabu zaidi.

Kwa kucheza huku kwa nini jukwaa lisiangunge
 
Lakini aligunduaa mapema ila akajisahau na mizukaa make niliona ata babu tale alifika kuona hiyo sehem kama ambavyo diamond alionesha kuwa na mashaka napo
20181209_202639.jpeg
 
Issue yenyewe mbona kama ipo imepangwa? Kwanini wamerukaruka kwa muda eneo hilo ambalo walishajua lina tatizo? Ile ndio kucheza ya diamond au ni macho yangu?
 
Wale Wazee wa Radi watakuwa washakufa

Kuna Siku walijaribisha Mtambo wa Radi Kwenye Meza kuu ya Mh. Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Mh. Dkt John Samwel Malecela Mjini Sumbawanga 1991

Sasa hivi wame advance kulingqna na maendeleo ya sayansi na teknologia, lazima waangalie hali ya hewa na mazingira hawawezi kukupiga radi kwenye jua
 
Pole yake. Ila sumbawanga vituko vingi sana
 
walikua wanacheza ngoma gani mbona walikua wanaruka kama wamasai, lol ila nimecheka sijui kwanini hasa pale Mbosso alipowachungulia was like "are you guys okay?" then "do we fucking look okay??"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
sawa.Mbeya unafanisha na uchafu gani eti?
sasa mbona nchi nzima mnalia hali ya uchumi ni mbaya hasa Arusha na Dar.Endeleeni kuunga juhudi usiforce tufanane eti.
Mbeya! Wako kwanza kwenye Upinzani wa kila kitu wanaamini wanajua na wana uelewa wa kila jambo. Hivyo huenda wameachwa kwanza wakae sawa.!

Jiji linazidi kurudi nyuma tu hakuna maendeleo ya maana.! Leo ukiangalia Arusha ilivyo ukafananisha na Mbeya unaweza kujipima pale Mbeya ilipo na itakapokuwepo miaka kumi ijayo.
 
Lakini aligunduaa mapema ila akajisahau na mizukaa make niliona ata babu tale alifika kuona hiyo sehem kama ambavyo diamond alionesha kuwa na mashaka napoView attachment 962039
Nadhani kuna umuhimu wa kutumia sound engineer na professional designer wa majukwaa, hilo jukwaa lipo chini ya kiwango mno ukilinganisha na umuhimu wa diamond. Pole zake, we wish him a quick recovery
 
Kiki za kipumbavu izo.

Yani unaona kabisa anaruka ruka maliciously ili kuvunja jukwaa afu pipo still buy it??...

Anajifanya kama ule mwaka 2003 kwenye WWE Smackdown BROCK LESNAR V BIG SHOW walivunja jukwaa???

Pipo prefer somethings real siku izi.

Aache uswahili huyo....
 
Rudia ulichosoma halafu tumia akili na moyo wako kisha uondoe chuki isiyo na maana sabbu haikusaidii kitu.
Just do ua best to archive ua goal utasikika tu kama yeye.!
Kiki za kipumbavu izo.

Yani unaona kabisa anaruka ruka maliciously ili kuvunja jukwaa afu pipo still buy it??...

Anajifanya kama ule mwaka 2003 kwenye WWE Smackdown BROCK LESNAR V BIG SHOW walivunja jukwaa???

Pipo prefer somethings real siku izi.

Aache uswahili huyo....
 
walikua wanacheza ngoma gani mbona walikua wanaruka kama wamasai, lol ila nimecheka sijui kwanini hasa pale Mbosso alipowachungulia was like "are you guys okay?" then "do we fucking look okay??"

[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli inachekesha ila pole zao ziwafikie
 
Back
Top Bottom