Video: Diamond aanguka jukwaani, akimbizwa Dar kwa matibabu

Nimeangalia hiyo video nimecheka sana jinsi walivyoamua kujificha chini ya jukwaa[emoji16]
 
Kuanguka saivi ni trending sana kwenye dance
 
Hatari kweli.....jukwaa laini hilo!??
 
Wakati akiwa jukwaani akiperform huko Sumbawanga, ghafla jukwaa lilivunjika lakini kwa bahati nzuri hamna aliyepoteza maisha zaidi ya Diamond kuteguka kiuno na hivyo kuwaishwa Dar kwa helkopta kwa matibabu zaidi.
 
Hivi mbeya amekwenda huyu star wenu?
Mbeya! Wako kwanza kwenye Upinzani wa kila kitu wanaamini wanajua na wana uelewa wa kila jambo. Hivyo huenda wameachwa kwanza wakae sawa.!

Jiji linazidi kurudi nyuma tu hakuna maendeleo ya maana.! Leo ukiangalia Arusha ilivyo ukafananisha na Mbeya unaweza kujipima pale Mbeya ilipo na itakapokuwepo miaka kumi ijayo.
 
Dah huko Sumbawanga hakuna wachezaji wa kusaidia timu ya taifa. Maana naona wanaweza kutumiwa na taifa.
 
Kama ni sumbawanga.... siwezi shangaa
 
Sumbawanga kweli ninyi wanga shikamoni!
 
Wabongo kwa kuamini ushirikina hawajambo. Mtu anaweza kufa kwa ngoma bado wataamini amerogwa
 
Ha ha mamaye iyo ndio sumbawanga, nasikia jana ilipiga mvua diamond hakupanda, hapo wachawi wanatest mitambo yao, kwa nini hakuligundua hilo jana?wachawi hawana sababu maalumu kufanya yao

Wale Wazee wa Radi watakuwa washakufa

Kuna Siku walijaribisha Mtambo wa Radi Kwenye Meza kuu ya Mh. Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Mh. Dkt John Samwel Malecela Mjini Sumbawanga 1991
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…