Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
KumbeeeYou are too shallow to understand.
A person who is handed the national flag from time to time should not go around singing a banned song about anal sex.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeeeYou are too shallow to understand.
A person who is handed the national flag from time to time should not go around singing a banned song about anal sex.
Biashara inapokuwa kubwa, makampuni huwa yanaanzisha kitengo kinaitwa compliance department na huajiri wataalam wa kuhakikisha biashara haibughudhiwi bugudhiwi na serikali kwa kuvunja vunja visheria vidogo vidogo na vikubwa.
Diamond jana, Desemba 15, akiwa Mwanza kaimba tena "mambo ya Amber Rutty." Mkuu wa BASATA katoa tamko la dharura kwamba ameyasikia, yuko njiani Arusha atarudi makao mkuu kumshushia rungu zito kwa sababu Diamond amedharau baraza, wizara na serikali yote kwa kuimba mambo ambayo ameshaambiwa yanahamasisha yasiyokubalika kwenye jamii. Wimbo huo licha ya kufungiwa na BASATA bado unatumiwa na baadhi ya watu akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Tulia Ackson, ambae aliuimba na kucheza wakati wakishangilia ushindi wao wa mpira wa wabunge wa Afrika Mashariki.
WASAFI wanahitaji walezi bora zaidi, RC wa Dar Paul Makonda ambae hujinasibu kumshauri Diamond, hatoshi. Nchi imetangazwa juzi kuwekewa maazimio makali na dunia, Waziri wa Fedha katoa tamko kwamba hali ni mbaya kutokana na hayo hayo "mambo ya Amber Rutty." Mtu mwenye busara ungefunika kombe mwanaharamu apite, lakini Makonda kaenda kwenye mic kaongelea tena "mambo ya Amber Rutty." Usiku wake Diamond kapanda jukwaani kaimba tena "mambo ya Amber Rutty" yanaleta "Mwanza Nyegezi."
Bado tatizo la Diamond na waambata wake ni upeo.
Basata wamjadili Diamond kuimba wimbo uliofungiwa
Safari yake inaelekea ukingoni, anaona ufahari kutoa nyimbo kila kukicha pasipo kuangalia ubora wa nyimbo hizoCurve inaanaza kutaka ku-bend down wards.
Diamond mashairi yamemuishia anaanza kutafuta jina kwa matusi
Hi.Safari yake inaelekea ukingoni, anaona ufahari kutoa nyimbo kila kukicha pasipo kuangalia ubora wa nyimbo hizo
Hello!
Nimeamka kama kawaida tu na nyegezi yangu.i wish ungekua hapa loveHello!
Huko Nyegezi mmeamkaje?
Kwani kibaya alichokiimba ni nini alichosema " Ila naogopa central michezo ya amber ruty" tatizo hapo liko wapi au tatizo ni hiyo mizee ya basataDiamond huwa anapewa bendera ya nchi na waziri wa utamaduni uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwenda kutuwakilisha. Chochote anachofanya kwa jina letu kinatuhusu!
Hawezi kuwa balozi wa nchi wa "mambo ya Amber Rutty" na ushoga halafu tukasema hayatuhusu.
Hakika kabisa ,ameonyesha uoga ,kwahiyo hapo amewataka watu kuogopa hili jambo mtaenda jelaKwani kibaya alichokiimba ni nini alichosema " Ila naogopa central michezo ya amber ruty" tatizo hapo liko wapi au tatizo ni hiyo mizee ya basata
Sawa marehemu sheikh yahaya , yaani mmekalia watu kushindwa tu kama mchawiSafari yake inaelekea ukingoni, anaona ufahari kutoa nyimbo kila kukicha pasipo kuangalia ubora wa nyimbo hizo