Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Wa Syria huyo...wamekuwa cheap sana hao...mi nnao wanne hapa
 
Kasema sababu yeye ni SUKARII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko Zari sijui ana hali gani maskini....nakumbuka caption zake za kujitamba leo hii mond anampost hamissa? Itakua kaumia huko alipo!!!
My dear karma is.........
 
My dear karma is.........
Alizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???
 
Kasema sababu yeye ni SUKARII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko Zari sijui ana hali gani maskini....nakumbuka caption zake za kujitamba leo hii mond anampost hamissa? Itakua kaumia huko alipo!!!
Sidhani km zari anahusika kwsbb alishajitoa mapema.
 
Diamond kweli ameni disappoint. Mwanamke pekee anayemuheshimu ni mama yake mzazi tu. Anasahau pia ana mtoto wa kike. Ana matatizo gani huyu kijana??

Anajisahau sana lakini yakimfika siku atakumbuka. Mimi kama shabiki wake bora nihamie kwa dogo janja tu
 
Kwa status aliyonayo hastahil kuendesha mziki wake kwa kiki tena akiwa baba wa watoto 3.
 
Ila kuna wanaume hawana adabu jamani mwanamke hadi kakuzalia watoto una mabango vile wanaume wa kibongo jamani hata aende akaishi Marekan kama ni mtu wa mtu wa taarabu hawezi badilika,,zari tulimuambia akahisi anaonewa wivu na kuanza rusha madongoo yapo wapiiii tabia ni kama ngozi tu haijifichi ,mwanaume akiwa na tabia chafu hata ampate nanii ,japo zari ulitupiga madongo wabongo ila kwa hili bora afanye aache maneno etiii oooh mwanamke anatakiwa awe kama hivi na nywele zake sio kila siku mawigi na brazilian hair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
Ice man sio Daimond pekee wanaume baadhi ya daimond hawana hivyo vitu ulivyovisema ,
 
TCRA wanafrahia kuona huu uchafu
 
Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…