Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear karma is.........Kasema sababu yeye ni SUKARII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko Zari sijui ana hali gani maskini....nakumbuka caption zake za kujitamba leo hii mond anampost hamissa? Itakua kaumia huko alipo!!!
Bora umesemaa ww kilaa mtu apambane na maishaa yake yasiiiume familiaa yake yaje yawaume wao wakendege hukoMnaosema anatutia aibu wanaume nawashashangaa sana, mbona mi sioni aibu? Yaani mimi nikosane na Mama Gaude, aiubu uone wewe?
Alizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???My dear karma is.........
Sidhani km zari anahusika kwsbb alishajitoa mapema.Kasema sababu yeye ni SUKARII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko Zari sijui ana hali gani maskini....nakumbuka caption zake za kujitamba leo hii mond anampost hamissa? Itakua kaumia huko alipo!!!
Truemuda haudanganyi ukifika kila kitu kitakuwa kwenye mstari, acha achezee weeee na mioyo ya wanawake machozi yao hayaendi bure
Wanapenda kumuhusisha zari kwenye uchafu chafu kwa kigezo cha karma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sidhani km zari anahusika kwsbb alishajitoa mapema.
Ice man sio Daimond pekee wanaume baadhi ya daimond hawana hivyo vitu ulivyovisema ,Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemoDiamond kweli ameni disappoint. Mwanamke pekee anayemuheshimu ni mama yake mzazi tu. Anasahau pia ana mtoto wa kike. Ana matatizo gani huyu kijana??
Anajisahau sana lakini yakimfika siku atakumbuka. Mimi kama shabiki wake bora nihamie kwa dogo janja tu