Ila kuna wanaume hawana adabu jamani mwanamke hadi kakuzalia watoto una mabango vile wanaume wa kibongo jamani hata aende akaishi Marekan kama ni mtu wa mtu wa taarabu hawezi badilika,,zari tulimuambia akahisi anaonewa wivu na kuanza rusha madongoo yapo wapiiii tabia ni kama ngozi tu haijifichi ,mwanaume akiwa na tabia chafu hata ampate nanii ,japo zari ulitupiga madongo wabongo ila kwa hili bora afanye aache maneno etiii oooh mwanamke anatakiwa awe kama hivi na nywele zake sio kila siku mawigi na brazilian hair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]