Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Ukipewa story na wapambe wa muzamil kuhusu zari huwezi amini ndio huyu,chibu alikutana nae kwenye ndege anatoka bongo kuliwa na muzamili nae akatongoza,mama alishajua chibu nae dola anazo ndio akamkubali
Kuliwa kawaida tu. Sababu hakua kwenye mahusiano na mtu. Mahusiano huanza popote tu sio kny ndege watu wanaanzisha hata humu jf.

Lakini issue hapa sio zari issue ni uchafu wa diamond. Diamond angekua anafanya mambo yale na mwanamke mmoja sawa. Lakini wanawake wawili tofauti na kujirecord juu.
 
Shida ni wanawake sio yeye mana unarekodiwa wewe unaangalia tu,istoshe wamefuata mshiko wke sio sura au penzi lake
 
Let me tell u japo sio shabiki wa mziki wao.
Ile ni kik ya kusaidia kuua skendo ya NANDY!!!Only BIGGER minds will understand this
Interesting!!! Kwa hiyo anaua skendo ya Nandy kwa kujitengenezea skendo yeye mwenyewe na baby mama wake?
 
Siku hizi Naona imekua fashion kwa wasanii wa kibongo kutupia video zao wakiwa faragha! Juzi hapa Nandy alitupia video akiwa anachezewa TOPE na Mpenzi wake. Hatujakaa vizuri Domo ameibuka na yake. Inaelekea Ukimkardashian unakuja bongo kwa kasi ya ajabu
 
Sio normal ndio mana nlisema uswahili unamsumbua plus wadada nao kujilengesha kwake
Wacha tuone mwisho wake.
Nilikua his loyal fan saiv nipo kwa dogojanja kwa mkopo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom