Hahaaaahaaaa!!!hatari tupu sio Brazilian hair looohhh!Ila kuna wanaume hawana adabu jamani mwanamke hadi kakuzalia watoto una mabango vile wanaume wa kibongo jamani hata aende akaishi Marekan kama ni mtu wa mtu wa taarabu hawezi badilika,,zari tulimuambia akahisi anaonewa wivu na kuanza rusha madongoo yapo wapiiii tabia ni kama ngozi tu haijifichi ,mwanaume akiwa na tabia chafu hata ampate nanii ,japo zari ulitupiga madongo wabongo ila kwa hili bora afanye aache maneno etiii oooh mwanamke anatakiwa awe kama hivi na nywele zake sio kila siku mawigi na brazilian hair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ataandika snapchat mpaka ,mi nilikuwaga nasema mbona hamisa ana kiburi hivii,,halaf mbayaa sana mwanaume kwenda kusimulia habari zako kwa ,wanamke mwingine ndio maana wanashindwa na kuoa maana wana haiba za kike kabisaa,Hahaaaahaaaa!!!hatari tupu sio Brazilian hair looohhh!
Zari aliko mgonjwa
Yaaan kwakweli tunahitaji maombi ya mwili na roho. Hata kama umaarufu sio kwa namna hiiHalaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
Ujinga kweli watu ndio watamponda kiba ,,wanaume kama Kiba wachache hii duniaaDiamond anapenda kuongelewa sana ni ujinga mtupu
Huyo Hide MyID,anabahatisha tuu.Siku aliposema Siiipika anapumulia Mashine Hospitali halafu siku hiyo hiyo Mhe alikuwa amewasili,alivyo mjanja akabadili post haraka na utetezi kibao.Habari zingine anapotoshaMange Kasema Zero Brain hasituzidi akili,BASHITE anatutoa kwenye Reli .
Naona masupastaa wa bongo hawanaga miyawaya ya kupitisha umeme, nawazaaaaa how come uchafu huu ila kila mtu yupo safi tuuKiuhalisia maisha ya mziki yanahitaji nidham ya hali ya juu sana pia Diamond hii system anayoenda nayo sitoshangaa siku akilalamika afya kuzoofika sababu ya umeme, [emoji848] think
Ngoja tuone kama yanamlipa sanaYaaan kwakweli tunahitaji maombi ya mwili na roho. Hata kama umaarufu sio kwa namna hii
nani ana dhalilisha wanawake? au wanawake wana jidhalilisha? kwanini isiwe wanaume wana dhalilisha wanaume...?Huyu kijana Hana Washauri? Na Kama Wapo wanamshauri nini? Mwanaume kamili hawezi shindana na mwanamke, diamond Amekosa Kifua kabisa shame!! Ila akumbuke kuna Kesho pia na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake, enternet never forgets
N.Korea wanatumia sattelait zao wenyewe, sisi tunatumia za wazungu...Mbona Asia haipo kule Korea kwa kiduku?
Tuseme ukweli hivi kuna msichana/ mwanamke asiye penda kuwa na mahusiano na diamond?Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
HahaaaaaaMnaosema anatutia aibu wanaume nawashashangaa sana, mbona mi sioni aibu? Yaani mimi nikosane na Mama Gaude, aiubu uone wewe?
sio kwa ngono pekee... hata kwa kuzaliwa, kushare vitu vyenye ncha kali, kuongezewa damu yenye vijidudu nk...Kiuhalisia maisha ya mziki yanahitaji nidham ya hali ya juu sana pia Diamond hii system anayoenda nayo sitoshangaa siku akilalamika afya kuzoofika sababu ya umeme, [emoji848] think
Nahisi hawana maana diamond ni kama ana ji manage mwenyewWashauri wenyewe wakina babu tale????
Mis you madam!Bila kumtaja Zari hamuwezi kupata kiki aiseee wengine wanajitapa eti tulimshauri zari who are u?ulikaa nae kumshauri duh!
Maumivu ya kuachwa mabaya sana. Jamaa anaonyesha jinsi gani mtoso unamuuma na bado. Kila kiki inabuma,wimbo wametoa umebuma