Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Ila kuna wanaume hawana adabu jamani mwanamke hadi kakuzalia watoto una mabango vile wanaume wa kibongo jamani hata aende akaishi Marekan kama ni mtu wa mtu wa taarabu hawezi badilika,,zari tulimuambia akahisi anaonewa wivu na kuanza rusha madongoo yapo wapiiii tabia ni kama ngozi tu haijifichi ,mwanaume akiwa na tabia chafu hata ampate nanii ,japo zari ulitupiga madongo wabongo ila kwa hili bora afanye aache maneno etiii oooh mwanamke anatakiwa awe kama hivi na nywele zake sio kila siku mawigi na brazilian hair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaahaaaa!!!hatari tupu sio Brazilian hair looohhh!

Zari aliko mgonjwa
 
Hahaaaahaaaa!!!hatari tupu sio Brazilian hair looohhh!

Zari aliko mgonjwa
Leo ataandika snapchat mpaka ,mi nilikuwaga nasema mbona hamisa ana kiburi hivii,,halaf mbayaa sana mwanaume kwenda kusimulia habari zako kwa ,wanamke mwingine ndio maana wanashindwa na kuoa maana wana haiba za kike kabisaa,
 
Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
Yaaan kwakweli tunahitaji maombi ya mwili na roho. Hata kama umaarufu sio kwa namna hii
 
Mange Kasema Zero Brain hasituzidi akili,BASHITE anatutoa kwenye Reli .
Huyo Hide MyID,anabahatisha tuu.Siku aliposema Siiipika anapumulia Mashine Hospitali halafu siku hiyo hiyo Mhe alikuwa amewasili,alivyo mjanja akabadili post haraka na utetezi kibao.Habari zingine anapotosha
 
Kiuhalisia maisha ya mziki yanahitaji nidham ya hali ya juu sana pia Diamond hii system anayoenda nayo sitoshangaa siku akilalamika afya kuzoofika sababu ya umeme, [emoji848] think
Naona masupastaa wa bongo hawanaga miyawaya ya kupitisha umeme, nawazaaaaa how come uchafu huu ila kila mtu yupo safi tuu
 
Huyu kijana Hana Washauri? Na Kama Wapo wanamshauri nini? Mwanaume kamili hawezi shindana na mwanamke, diamond Amekosa Kifua kabisa shame!! Ila akumbuke kuna Kesho pia na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake, enternet never forgets
nani ana dhalilisha wanawake? au wanawake wana jidhalilisha? kwanini isiwe wanaume wana dhalilisha wanaume...?

kudos...
 
Una watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti na bado unajifanya mtoto!! Hata kama ni kutusahaulisha mambo muhim ya kitaifa sio kwa ujinga huu

Pia apitie story za watu wengi wa majuu waliowahi kutisha kwa pesa, wanamiliki mitaa, jet na kiasi kikubwa cha pesa lakini walikuja kuwa malofa wa kutupwa, anahitaji kuwa na nidhamu na kazi yake

Pia akina dada/mama jaribuni kuwa strong, mnadharirishwa mno, kesho utamuona Wema nae analiwa denda
 
Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
Tuseme ukweli hivi kuna msichana/ mwanamke asiye penda kuwa na mahusiano na diamond?

Hivi hakuna asasi za kiraia zinashughulika na mambo kama haya hii ni kama udhalilishaji kwa mwanamke...

Wanawake naona kama mnajidhalilisha wenyewe yaani shida tupu
 
Kiuhalisia maisha ya mziki yanahitaji nidham ya hali ya juu sana pia Diamond hii system anayoenda nayo sitoshangaa siku akilalamika afya kuzoofika sababu ya umeme, [emoji848] think
sio kwa ngono pekee... hata kwa kuzaliwa, kushare vitu vyenye ncha kali, kuongezewa damu yenye vijidudu nk...

refer wimbo wa mwana FA lakini alikufa na ngoma...

kudos
 
Bila kumtaja Zari hamuwezi kupata kiki aiseee wengine wanajitapa eti tulimshauri zari who are u?ulikaa nae kumshauri duh!

Maumivu ya kuachwa mabaya sana. Jamaa anaonyesha jinsi gani mtoso unamuuma na bado. Kila kiki inabuma,wimbo wametoa umebuma
 
Mamenage wa Diamond ni kama wabunge wa CCm kila kitu ni ndiyo Mzee
 
Bila kumtaja Zari hamuwezi kupata kiki aiseee wengine wanajitapa eti tulimshauri zari who are u?ulikaa nae kumshauri duh!

Maumivu ya kuachwa mabaya sana. Jamaa anaonyesha jinsi gani mtoso unamuuma na bado. Kila kiki inabuma,wimbo wametoa umebuma
Mis you madam!
 
Back
Top Bottom