Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kiba ana watoto 5 mama tofauti aige na hilo?King kiba,at,mwana fa na professor joy wamfundishe au aige kile kizuri kinachotoka kwao kuhusu nidhamu na heshima binafsi
Hakuna cha bigger wala smaller.Let me tell u japo sio shabiki wa mziki wao.
Ile ni kik ya kusaidia kuua skendo ya NANDY!!!Only BIGGER minds will understand this
Mis you madam!
[emoji2] [emoji2] wakutia mimba na kutelekeza watoto km kiba ni wachache et hadi demu wke anaenda kwa R. CUjinga kweli watu ndio watamponda kiba ,,wanaume kama Kiba wachache hii duniaa
Mwanaume sio babaakoKasema sababu yeye ni SUKARII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko Zari sijui ana hali gani maskini....nakumbuka caption zake za kujitamba leo hii mond anampost hamissa? Itakua kaumia huko alipo!!!
Hiii ndo kasema hivyo?Ila kuna wanaume hawana adabu jamani mwanamke hadi kakuzalia watoto una mabango vile wanaume wa kibongo jamani hata aende akaishi Marekan kama ni mtu wa mtu wa taarabu hawezi badilika,,zari tulimuambia akahisi anaonewa wivu na kuanza rusha madongoo yapo wapiiii tabia ni kama ngozi tu haijifichi ,mwanaume akiwa na tabia chafu hata ampate nanii ,japo zari ulitupiga madongo wabongo ila kwa hili bora afanye aache maneno etiii oooh mwanamke anatakiwa awe kama hivi na nywele zake sio kila siku mawigi na brazilian hair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Banange banange zari atuachie likahaba letu la kiume![emoji28] [emoji28]Hahaaaahaaaa!!!hatari tupu sio Brazilian hair looohhh!
Zari aliko mgonjwa
Twaliweza wenyeweeBanange banange zari atuachie likahaba letu la kiume![emoji28] [emoji28]
Kiba mtoto wa KKOO sio mshambaUjinga kweli watu ndio watamponda kiba ,,wanaume kama Kiba wachache hii duniaa
Yaani kaah!wanaume hawa km mondi ni shida tupu Leo ndo kaona mawigiLeo ataandika snapchat mpaka ,mi nilikuwaga nasema mbona hamisa ana kiburi hivii,,halaf mbayaa sana mwanaume kwenda kusimulia habari zako kwa ,wanamke mwingine ndio maana wanashindwa na kuoa maana wana haiba za kike kabisaa,
Anasema mawigi huku hamisa naye kalivaa kichwani hapo hapo.Yaani kaah!wanaume hawa km mondi ni shida tupu Leo ndo kaona mawigi