Thats it.Hilo ndio tatizo lake ulimbukeni na uswahili,zari nae walewale umri wote ule alikua anapost video ya faragha
Acha apambane na maisha yke ujana utumike vizuriAmeshasema UKIBANWA JAMBAA UKIACHWA JUA KUACHIKA dai ananipa raha
Ukipewa story na wapambe wa muzamil kuhusu zari huwezi amini ndio huyu,chibu alikutana nae kwenye ndege anatoka bongo kuliwa na muzamili nae akatongoza,mama alishajua chibu nae dola anazo ndio akamkubaliThats it.
Yaani.. Kiba ndio Mwanaume kwakweli. Huyu wa Tandale ni full kujikweza na wenye showoff za kitotoUjinga kweli watu ndio watamponda kiba ,,wanaume kama Kiba wachache hii duniaa
Kuliwa kawaida tu. Sababu hakua kwenye mahusiano na mtu. Mahusiano huanza popote tu sio kny ndege watu wanaanzisha hata humu jf.Ukipewa story na wapambe wa muzamil kuhusu zari huwezi amini ndio huyu,chibu alikutana nae kwenye ndege anatoka bongo kuliwa na muzamili nae akatongoza,mama alishajua chibu nae dola anazo ndio akamkubali
Shida ni wanawake sio yeye mana unarekodiwa wewe unaangalia tu,istoshe wamefuata mshiko wke sio sura au penzi lakeKuliwa kawaida tu. Sababu hakua kwenye mahusiano na mtu. Mahusiano huanza popote tu sio kny ndege watu wanaanzisha hata humu jf.
Lakini issue hapa sio zari issue ni uchafu wa diamond. Diamond angekua anafanya mambo yale na mwanamke mmoja sawa. Lakini wanawake wawili tofauti na kujirecord juu.
Sawa. Lakini diamond ndio aliyepost sio hao wanawake.Shida ni wanawake sio yeye mana unarekodiwa wewe unaangalia tu,istoshe wamefuata mshiko wke sio sura au penzi lake
Amepost yeye akiwa nao naked au walikua wanafanya mapenzi?Sawa. Lakini diamond ndio aliyepost sio hao wanawake.
Wanawake wenyewe wanapenda kuchezewa..muda haudanganyi ukifika kila kitu kitakuwa kwenye mstari, acha achezee weeee na mioyo ya wanawake machozi yao hayaendi bure
Kama video zinavyojionesha.Amepost yeye akiwa nao naked au walikua wanafanya mapenzi?
Interesting!!! Kwa hiyo anaua skendo ya Nandy kwa kujitengenezea skendo yeye mwenyewe na baby mama wake?Let me tell u japo sio shabiki wa mziki wao.
Ile ni kik ya kusaidia kuua skendo ya NANDY!!!Only BIGGER minds will understand this
Video hazionyeshi wakiwa naked wko tu wanabambianaKama video zinavyojionesha.
Kwa kweli!![emoji81][emoji81][emoji81]Mwanaume sio babaako
Madenda na kutomasana juu?? Hiyi ni normal kwakoVideo hazionyeshi wakiwa naked wko tu wanabambiana
Sio normal ndio mana nlisema uswahili unamsumbua plus wadada nao kujilengesha kwakeMadenda na kutomasana juu?? Hiyi ni normal kwako
Wacha tuone mwisho wake.Sio normal ndio mana nlisema uswahili unamsumbua plus wadada nao kujilengesha kwake
Huyo nae yuko mbioni kupost mana nae mke mdangaji suguWacha tuone mwisho wake.
Nilikua his loyal fan saiv nipo kwa dogojanja kwa mkopo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Akipost nitahamia kwa sugu [emoji16]Huyo nae yuko mbioni kupost mana nae mke mdangaji sugu
Wahenga hawanaga hizo,kuuza sura wameachiwa kina domo na billnasAkipost nitahamia kwa sugu [emoji16]