Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe

Labda kwa kua amekosa malezi ya baba , Ameishia darasa la saba ukiunganisha na kukulia kwenye maisha ya dhiki tandale huko ndio kabisa anakosa adabu
 
Alivyokua anamshika shika Zari mlikua mnamsifia Leo mwamponda!!

Walimwengu wanaafiki
 
Alivyokua anamshika shika Zari mlikua mnamsifia Leo mwamponda!!

Walimwengu wanaafiki
Hivi unaujua ule wimbo wa kinigeria kuna baba kajirekodi analia hukua ananyanya mabega yupo kwenye garii halaf kuna sehemu anasema .... my super woman..... analia huku ananyanyua vimabega
Huo wimbo unaitwaje naupenda kwelii
 
Alivyokua anamshika shika Zari mlikua mnamsifia Leo mwamponda!!

Walimwengu wanaafiki
Mie hata wakati wa bitukinao sikupenda. Wenzake ni kina mama. Kuwashika shika hadharani anawadhalilisha na yenyewe yanafurahia. Diamond nataka kumuonja nione ni nini kinawadatisha wanawake kwake
 
Mie hata wakati wa bitukinao sikupenda. Wenzake ni kina mama. Kuwashika shika hadharani anawadhalilisha na yenyewe yanafurahia. Diamond nataka kumuonja nione ni nini kinawadatisha wanawake kwake
Hahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaa

BTW Tuliokua tunasema tulionekanaga mahater na kuambiwa waswahili!Leo wanashikwa wengine eti wanaponda!
 
Hahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaa

BTW Tuliokua tunasema tulionekanaga mahater na kuambiwa waswahili!Leo wanashikwa wengine eti wanaponda!
Wanaoponda ni wale fans wa Zari. Sio jina Geni nasikia kijana ni hatari kabisa. We chek tu alivyokua anamlamba lamba mzungu. Mi nakwambia nimemuweka kwenye ratiba nione ni jina tuu au kuna mengine yanawachanganya watu
 
Hahahaaaaa!!!wa Kigoma yule pale kati lazima patamu!
Katest Zali then uje utuambie
 
Kuna uzi humu umeletwa ukisema Aslay na Diamond waachia nyimbo zoa...

Kuna member alijibu... WCB bila kiki hamna kitu... sasa naweza anza amini kweli WCB bila kiki hakuna kitu...

Cc: mahondaw
Nilisema mkuu,siku wabongo wakijitambua hawa jamaa watakufa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…