Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ila kafanya yote hayo kuua kiki ya harusi ya kibakuli na chupi ya nandy. Wivu wa kuto ongelewa yeye [emoji57][emoji57]Wahenga hawanaga hizo,kuuza sura wameachiwa kina domo na billnas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kafanya yote hayo kuua kiki ya harusi ya kibakuli na chupi ya nandy. Wivu wa kuto ongelewa yeye [emoji57][emoji57]Wahenga hawanaga hizo,kuuza sura wameachiwa kina domo na billnas
Duuuh kibakuli anaoa wiki nzima au ndio harusi imeishaIla kafanya yote hayo kuua kiki ya harusi ya kibakuli na chupi ya nandy. Wivu wa kuto ongelewa yeye [emoji57][emoji57]
Yaan shughuli haiishi. Hapo tarehe 19 ndio ukumbiniDuuuh kibakuli anaoa wiki nzima au ndio harusi imeisha
Sherehe ya kiswahili gharama sio kubwa,mombasa vyapati,maandazi kwa sana nimeshaenda arusi mbili za watu wa hukoYaan shughuli haiishi. Hapo tarehe 19 ndio ukumbini
Ila si ndio sherehe wiki au siku moja tu?.Sherehe ya kiswahili gharama sio kubwa,mombasa vyapati,maandazi kwa sana nimeshaenda arusi mbili za watu wa huko
Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
You can say that again pleaseeeeee!Ujinga kweli watu ndio watamponda kiba ,,wanaume kama Kiba wachache hii duniaa
Hivi unaujua ule wimbo wa kinigeria kuna baba kajirekodi analia hukua ananyanya mabega yupo kwenye garii halaf kuna sehemu anasema .... my super woman..... analia huku ananyanyua vimabegaAlivyokua anamshika shika Zari mlikua mnamsifia Leo mwamponda!!
Walimwengu wanaafiki
Mie hata wakati wa bitukinao sikupenda. Wenzake ni kina mama. Kuwashika shika hadharani anawadhalilisha na yenyewe yanafurahia. Diamond nataka kumuonja nione ni nini kinawadatisha wanawake kwakeAlivyokua anamshika shika Zari mlikua mnamsifia Leo mwamponda!!
Walimwengu wanaafiki
Hahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaaMie hata wakati wa bitukinao sikupenda. Wenzake ni kina mama. Kuwashika shika hadharani anawadhalilisha na yenyewe yanafurahia. Diamond nataka kumuonja nione ni nini kinawadatisha wanawake kwake
You can say that again pleaseeeeee!
Yooooo!
Hahaaahaaa nyieMa.....ko yakoooo sema mwenyewee
Wanaoponda ni wale fans wa Zari. Sio jina Geni nasikia kijana ni hatari kabisa. We chek tu alivyokua anamlamba lamba mzungu. Mi nakwambia nimemuweka kwenye ratiba nione ni jina tuu au kuna mengine yanawachanganya watuHahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaa
BTW Tuliokua tunasema tulionekanaga mahater na kuambiwa waswahili!Leo wanashikwa wengine eti wanaponda!
Hahahaaaaa!!!wa Kigoma yule pale kati lazima patamu!Wanaoponda ni wale fans wa Zari. Sio jina Geni nasikia kijana ni hatari kabisa. We chek tu alivyokua anamlamba lamba mzungu. Mi nakwambia nimemuweka kwenye ratiba nione ni jina tuu au kuna mengine yanawachanganya watu
Nasikia patamu si kidogo. Ntaleta mrejesho kama ni kweli au wanamjaza sifa tu[emoji23][emoji23]Hahahaaaaa!!!wa Kigoma yule pale kati lazima patamu!
Katest Zali then uje utuambie
Nilisema mkuu,siku wabongo wakijitambua hawa jamaa watakufa njaaKuna uzi humu umeletwa ukisema Aslay na Diamond waachia nyimbo zoa...
Kuna member alijibu... WCB bila kiki hamna kitu... sasa naweza anza amini kweli WCB bila kiki hakuna kitu...
Cc: mahondaw
Fidbak muhimu!hahahaaaahaaa!loh...Nasikia patamu si kidogo. Ntaleta mrejesho kama ni kweli au wanamjaza sifa tu[emoji23][emoji23]
Wanawake wenyewe ndio wajinga kama wanapeleka vidudu vyao wacha washughulikiwemuda haudanganyi ukifika kila kitu kitakuwa kwenye mstari, acha achezee weeee na mioyo ya wanawake machozi yao hayaendi bure