Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Watanzania tuna ushamba fulani na ngozi nyeupe,mleta uzi anasema mwanamke makali mzungu,huyu sio mzungo macho namuona kama muhindi!,,halafu sasa huyu mwanamke aliepo hapo kwenye video na Diamond ana uzuri gani!?au uzuri wake kwasababu ana ngozi nyeupe.,

Huyu star wenu Diamond kupiga video na wanawake halafu akazisambaza maana yake nini kama si ushamba!?mwanamme wa kweli mambo ya chumbani huyaacha chumbani...

Video kama hizi zinakuwa zinatumwa na wale waimbaji marapa wa kimarekani ili kuatafuta "kiki" lakini sio kwa namna hii,Huyu jamaa bado limbukeni juu ya pesa zote alizokuwa nazo...
 
Huyu dream yake ilikuwa ni kuwa staa na k.utia wanawake wengi hakuna brand hapo
 
Alizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???
Huyo dem Zari nadhani anaadhibiwa kwa kile alichomtendea marehem Ivan
kweli karma is a beer....
 
Hahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaa

BTW Tuliokua tunasema tulionekanaga mahater na kuambiwa waswahili!Leo wanashikwa wengine eti wanaponda!
Issue sio kumshika hamissa o whatsoever . Issue ni 3 some ule sio urijali ila ni uchafuz wa mazingira
 
Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
Kufika mbali atafika tu maana when it comes to getting his shit together and putting in work and creativity yupo serious. Entertaining himself and having fun ni sehemu ndogo ya maisha yake tu.
 
Hamna kitu hapo.
Ukweli Diamond amechanganyikiwa kuachwa na Zari.
Hakutegemea kupigwa kibuti sasa anafanya mambo ya kihuni ambayo hayaendani na hadhi yake.
Yupo kama limbukeni fulani hivi. Ushamba hajauacha
 
Amechizika kupigwa kibuti. Hakuamini kupigwa kibuti tena kwa instagram.
 
Ameshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasa
Zari hakuongelea clip hii yeye aliongea kuhusu post ya tangazo la zamaradi alilopost Diamond kuhusu wanawake akamsifia mama yake kwa kumlea single mother....Usiku wake ndio akarusha hizi videos na Zari hajaongea lolote kuhusu hizi
 
Diamond na Malaya wa mjini...hivi kweli kabisa Diamond kashindwa kupata demu mkali aliyetulia akatulia nae?Avha tusio na majina tujilie vyetu salama kimya kimya
 
Mie nahisi hii ni kiki ya kumuokoa Nandi na skendo ya guchupi.Hawa wamezoea kusemwa hawajali ilakale katoto hadi huruma.
 
Tabby

Umeandika kwa hasira sana. Diamond ana watoto wawili? Mbona wa hamisa humsemi? Ahaaa hukuona siku ile on stage Hamisa na diamond ? Tena mondi kasema kuwa mtoto wao kama anawaona atafurahi? Ahaaaaa punguza jazba dogo wasanii ndo maisha yao.
 
Umeandika kwa hasira sana. Diamond ana watoto wawili? Mbona wa hamisa humsemi? Ahaaa hukuona siku ile on stage Hamisa na diamond ? Tena mondi kasema kuwa mtoto wao kama anawaona atafurahi? Ahaaaaa punguza jazba dogo wasanii ndo maisha yao.


Pls, you are not my level.
 
Man..spot on..wanaume huwa hatupendi kuwa dhaifu..kuachwa na demu kunauma sana ...

Mfuatilieni ivan baada ya kuachwa na zari alifanya nini? He did all crazy things....alijaribu kwa pesa yake kuwa na wanawake wa kila sampuli....but position ya yule mama haikuondoka na amekufa kwa msongo wa mawazo.

Its easier kama ingekuwa hajazaa na zari..but amezaa naye..tena watoto wawili...je makuzi ya watoto yatakuwaje? Je mkienda hata mahakamani baba mwenye tabia kama zake anaweza kukabidhiwa mtoto amlee?? Kumbuka kulea sio kutoa tu fedha.

Hakuna mwanaume duniani amewahi kushindana na mbunye...wanawake wazuri..wapo..wengi..na wanazaliwa kila siku..kamwe huwezi kuwamaliza..ni sawasawa na kupiga ngumi ukuta.

Maisha ni legacy..na jinsi gani tunahamisha legacy zetu wazazi kwa watoto wetu.

Diamond ni mfano tu wa jamii yetu ilivyo..jamii inayozalisha watoto wasio na maadili..walilelewa pasipo kuachiwa legacy sahihi na wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…