ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kama nakuona na ww unatamani upange foleniFidbak muhimu!hahahaaaahaaa!loh...
Eti wanamjaza sifa kijana yuko vzr!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona na ww unatamani upange foleniFidbak muhimu!hahahaaaahaaa!loh...
Eti wanamjaza sifa kijana yuko vzr!
Huyu dream yake ilikuwa ni kuwa staa na k.utia wanawake wengi hakuna brand hapoSo hawa mademu zake, Hamisa na huyo mzungu, wamekubali kushare dushelele huku wanajuana kabisa sio?
Huyu Dayamondi ni mshamba sana, angejua thamani ya brand yake na image anayojijengea kwa huu upuuzi angeacha mara moja.
Unamkomesha vp Zari mama wa watoto wako!
Huyo dem Zari nadhani anaadhibiwa kwa kile alichomtendea marehem IvanAlizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???
Issue sio kumshika hamissa o whatsoever . Issue ni 3 some ule sio urijali ila ni uchafuz wa mazingiraHahaaaa!unataka eti...?!!kinawadatisha jinaaaa!!!jinaa
BTW Tuliokua tunasema tulionekanaga mahater na kuambiwa waswahili!Leo wanashikwa wengine eti wanaponda!
Kufika mbali atafika tu maana when it comes to getting his shit together and putting in work and creativity yupo serious. Entertaining himself and having fun ni sehemu ndogo ya maisha yake tu.Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
Unamawazo kam yangu...maan daaah!!!Sijui kwanini TCRA isifungie Uchafu unaoitwa instagram?
Zari hakuongelea clip hii yeye aliongea kuhusu post ya tangazo la zamaradi alilopost Diamond kuhusu wanawake akamsifia mama yake kwa kumlea single mother....Usiku wake ndio akarusha hizi videos na Zari hajaongea lolote kuhusu hiziAmeshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasa
I knew it!Issue sio kumshika hamissa o whatsoever . Issue ni 3 some ule sio urijali ila ni uchafuz wa mazingira
Why and not u?Kama nakuona na ww unatamani upange foleni
Umeandika kwa hasira sana. Diamond ana watoto wawili? Mbona wa hamisa humsemi? Ahaaa hukuona siku ile on stage Hamisa na diamond ? Tena mondi kasema kuwa mtoto wao kama anawaona atafurahi? Ahaaaaa punguza jazba dogo wasanii ndo maisha yao.
Kudos niggerUnamawazo kam yangu...maan daaah!!!
Man..spot on..wanaume huwa hatupendi kuwa dhaifu..kuachwa na demu kunauma sana ...Hizi malaya za Casino pale kilimanjaro Hyatt
Hamna kitu hapo.
Ukweli Diamond amechanganyikiwa kuachwa na Zari.
Hakutegemea kupigwa kibuti sasa anafanya mambo ya kihuni ambayo hayaendani na hadhi yake.
Yupo kama limbukeni fulani hivi. Ushamba hajauacha