VIDEO: Diamond na Nandy waitwa TCRA, hivi ndivyo ilivyokuwa

ukilelewa na mama pekee kuna kitu unamis kikubwa sana kwenye malezi, speaking from expirience
Kwa maneno haya machache unamuunga mkono Rc Makonda kuwezesha karibu watoto 1000 kuwa na malezi ya pande mbili(baba na mama)
 
Mbona naona mike ya clouds hapo?nilijua hawataruhusu ata vyombo vyao vitumike juu yahuyu mtu
 
Usupastaa wa kujidhalilisha ni upuuzi mtupu.Hawa wanatakiwa kupewa adhabu kali sana,maana wanawaharibu vijana wanaowafuatilia kwa kila wanachokifanya.Wakiachwa bila kupewa adhabu itakuwa wameasisi mitindo mibaya sana na wengine wataiga wakijua ni mitindo ya maisha ya masupastaa
 
Diamond kweli star sio kwa macamera hayo. Umaarufu kweli mbaya kitu kidogo kinakuuzwa.

Diamond usirudie tena jaman
Online tv siku hizi nyingi ,kwa macamera mengi ni jambo la kulitegemea maana na wao wanapenda habari za kimbea Mbeya ndo zinazowalipa zaidi zinaangaliwa na wengi
 
Diamond is getting fukn pussy ass...
 
Hata wakifungwa its OK...

PUMBAVU.
 
Najaribu kuunganisha matukio, diamond haelewani na Ruge na nandy anapigwa mashine na ruge. Hili tukio la video ya aibu akiwa na billnas lazima limemkera ruge. Na kwakuwa Nandy na diamond wote ni wahanga wa hili jambo,naamini kwamba,tukio hili linawaunganisha diamond na nandy na hv karibuni nandy anapigwa mashine na Simba. Mark my words!
 
Duuuuuuh...
 
Diamond huwa hajui namna ya kuongea, hanaga point pia huwezi kuona nguvu yoyote kwenye Dialogue zake!
 
Siku Zitto anazungumzia masuala mazito ya kitaifa kulikuwa na tukamera tutatu tu twa online Tvs, huku kuhusu chup* ya Nanndy na uzinzi wa Dimond waandishi kibao.. Shame on you
Ndiyo utajua kwamba hii ni Tanzania ya viwanda au Tanzania ya wasanii sanii
 
Huwa nacheka hao majibaba wanaomsindikiza dogo...wakiulizwa kuhusu drama zake wanasema hayo ni maisha yake binafsi lakini akikutwa na majanga wapo nae bega kwa bega
 
Yetu macho na msikio, wenye pesa zao wataendelea tu wasanii kugonoana halafu wanaenda tcra wanafanya usanii mbele ya tcra ""jambo hilo halitojirudia tena tulikuwa hatujui"", hawajui? Kweli dunia iko ulingoni! Kweli wewe Nasib muislam hujui dini yako hats unafanya hayo tena kusudi, wewe Nandy mtoto wa like mkristo, baba na mama yako wanakushuhudia unalalwa hadharani kwa makusudi yako mazima halafu unasema "hujui!". Mlaaniwe.
 
Back
Top Bottom