screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Idea za kizinziNajaribu kuunganisha matukio, diamond haelewani na Ruge na nandy anapigwa mashine na ruge. Hili tukio la video ya aibu akiwa na billnas lazima limemkera ruge. Na kwakuwa Nandy na diamond wote ni wahanga wa hili jambo,naamini kwamba,tukio hili linawaunganisha diamond na nandy na hv karibuni nandy anapigwa mashine na Simba. Mark my words!