Idea za kizinziNajaribu kuunganisha matukio, diamond haelewani na Ruge na nandy anapigwa mashine na ruge. Hili tukio la video ya aibu akiwa na billnas lazima limemkera ruge. Na kwakuwa Nandy na diamond wote ni wahanga wa hili jambo,naamini kwamba,tukio hili linawaunganisha diamond na nandy na hv karibuni nandy anapigwa mashine na Simba. Mark my words!
Elimu mkuuSiku Zitto anazungumzia masuala mazito ya kitaifa kulikuwa na tukamera tutatu tu twa online Tvs, huku kuhusu chup* ya Nanndy na uzinzi wa Dimond waandishi kibao.. Shame on you
Wote wawili wanahitaji ushauri Nasaha..
Kweli hapo shidaMbona wameitwa wawili walioshirikiana nao katika hizo video mbona hawajaambatana.
ukilelewa na mama pekee kuna kitu unamis kikubwa sana kwenye malezi, speaking from expirience
Umeona eeh [emoji87]Siku Zitto anazungumzia masuala mazito ya kitaifa kulikuwa na tukamera tutatu tu twa online Tvs, huku kuhusu chup* ya Nanndy na uzinzi wa Dimond waandishi kibao.. Shame on you
Jamaa ana ushawishi mkubwa ktk jamii kuliko huyo zittoUmeona eeh [emoji87] View attachment 750489
Mmmh wapi kwenye video alionekana anafanya mapenzi kinyume na maumbile??Kwa hiyo Nandy kakiri kufanya mapenzi kinyume na maumbile ?aiseeeee
Shule baba, ShuleeeeeeeeeeeDiamond huwa hajui namna ya kuongea, hanaga point pia huwezi kuona nguvu yoyote kwenye Dialogue zake!
Hahaha wapo kama mazombi aiseeeee na walivyo na miili mikubwa sasa wanaonekana kama ma bodyguard wake.Huwa nacheka hao majibaba wanaomsindikiza dogo...wakiulizwa kuhusu drama zake wanasema hayo ni maisha yake binafsi lakini akikutwa na majanga wapo nae bega kwa bega
Shangingi hahahaha hili neno kitambo sana sijalisikia.Labda huyo nandy,
Diamond shangingi lililokubuhu toka enzi za wema mapicha yake mitandaoni ya aina hiyo hiyo
I second you.Sema ukilelewa na mama mjinga mjinga. Wengine tumelelewa na mama peke yake lakini mwenye kujielewa na uwezo wa kucheza vizuri 'father figure' na hakika hata pengo la Baba halionekani kwenye tabia na mwenendo kwa ujumla wake
Na ww usiwe mjinga,waandishi wa habari wa vyombo vikubwa kwenda kumrecord mtu anayemkosoa malaika,maana yake na yeye atakuwa adui na malaika...!! Ndo maana unaona zitto kakimbiwa na waandishi wakubwa wote!Jamaa ana ushawishi mkubwa ktk jamii kuliko huyo zitto
Umeongea kitu cha msingi "we tzns are so lazy and....."Siku Zitto anazungumzia masuala mazito ya kitaifa kulikuwa na tukamera tutatu tu twa online Tvs, huku kuhusu chup* ya Nanndy na uzinzi wa Dimond waandishi kibao.. Shame on you
Poa mkuu tufanye waandishi ndio wajingaNa ww usiwe mjinga,waandishi wa habari wa vyombo vikubwa kwenda kumrecord mtu anayemkosoa malaika,maana yake na yeye atakuwa adui na malaika...!! Ndo maana unaona zitto kakimbiwa na waandishi wakubwa wote!
Huyo mwingine nadhani hata TMK WANAUME amewasahau kabisa nadhani hata Yamoto band kusambaratika inaweza kuwa sababu ya nguvu kubwa kuiweka kwa DiamondHahaha wapo kama mazombi aiseeeee na walivyo na miili mikubwa sasa wanaonekana kama ma bodyguard wake.
Lol.