Video: Dkt. Bashiru aliletwa CCM na Hayati Magufuli; Asilaumiwe kwa aliyotenda

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Kwenye video Hayati Magufuli anasema alimtoa Bashiru Ally CUF na kumleta CCM, hivyo basi wanaomlaumu Bashiru hawamtendei haki. Yeye siyo mwanachama wao.

Magufuli aliharibu sana misingi ya CCM
 
Kwenye video Magufuli anasema alimtoa Bashiru Ally CUF na kumleta CCM, hivyo basi wanaomlaumu Bashiru hawamtendei haki. Yeye siyo mwanachama wao;
View attachment 2425193

Magufuli aliharibu sana misingi ya CCM
CCM TULIZOE KUIBA BILA KUGUSWA SASA HILI KUNGUNI LIKAJA KUTUZUIA NDO MAANA TUKALIONDOA DUNIANI.SIS TULITAKA ANYANYASE WAPINZANI LAKINI MWISHOWE AKAISHIA KUTUUMIZA HADI WANACCM SOTE
 
Sijui kama umeitazama hiyo video na kuielewa vizuri, Magufuli alikuwa very clear kwanini alimpeleka Dr. Bashiru CCM, anasema alimpeleka ili kuondoa uozo wa mazoea alioukuta ndani ya CCM, na akasema anawataka kina Bashiru wengi ndani ya CCM.

Unapolaumu ujio wa Dr. Bashiru ndani ya CCM unaonekana hujui hata sheria za vyama vya siasa, ulitaka CCM wamtenge Dr. Bashiru kwa sababu gani? utambue kila mtanzania anatakiwa kujiunga na chama chochote cha siasa akipendacho, hiyo ni haki ya kila mmoja, usiendekeze siasa za makundi ndizo zinazoitafuna nchi.

Unaigeuza CCM mali ya watu binafsi ndio maana sasa wamejaa viburi, majibu ya dharau, na kuteuana kwa kujuana, kumbe tatizo ni letu wenyewe tunalea huo ujinga bila kujua.
 
Wao wana msemo wao; Dr. Bashiru siyo Ndugai.
 
There is a freedom of association where everyone is free to join any political party of his or her choice.

Maelezo uliyotoa inaonyesha chama kina wamiliki na pia huko chamani hutakiwi kusema changamoto wanazopitia wananchi.

Watu wa Cuba hawawezi kuanzisha Uzi kama huu
 
Ni kweli Bashiru Ally bado mwanachama wa CUF. Kadi yake Namba 01201100 ya aliyokata tarehe 14-03- 2009 hii hapa;
IMG-20221123-WA0042.jpg

Kama kuna mwenye ya CCM atokeze aiweke hapa
 
Sijui kama umeitazama hiyo video na kuielewa vizuri, Magufuli alikuwa very clear kwanini alimpeleka Dr. Bashiru CCM, anasema alimpeleka ili kuondoa uozo wa mazoea alioukuta ndani ya CCM, na akasema anawataka kina Bashiru wengi ndani ya CCM.

Unapolaumu ujio wa Dr. Bashiru ndani ya CCM unaonekana hujui hata sheria za vyama vya siasa, ulitaka CCM wamtenge Dr. Bashiru kwa sababu gani? utambue kila mtanzania anatakiwa kujiunga na chama chochote cha siasa akipendacho, hiyo ni haki ya kila mmoja, usiendekeze siasa za makundi ndizo zinazoitafuna nchi.

Unaigeuza CCM mali ya watu binafsi ndio maana sasa wamejaa viburi, majibu ya dharau, na kuteuana kwa kujuana, kumbe tatizo ni letu wenyewe tunalea huo ujinga bila kujua.
Kuna kipindi ambacho CCM ilijaa kiburi na ubabe kama kipindi cha Magufuli?
 
..kwasababu Dr.Bashiru alitokea Cuf ungetegemea angeingiza falsafa ya " haki sawa kwa wote " ndani Ccm na serikali waliyoiunda.

..cha kustaajabisha ni kwamba Dr.Bashiru aliongoza Ccm iliyovunja sheria na kufanya mambo ya kikatili kuliko wakati wowote tangu vyama vingi vianze.

..Makada wa Ccm chini ya Katibu Mkuu Dr.Bashiru walijiona wao wako juu ya vyama vingine, na juu ya sheria za nchi.
 
Sijui kama umeitazama hiyo video na kuielewa vizuri, Magufuli alikuwa very clear kwanini alimpeleka Dr. Bashiru CCM, anasema alimpeleka ili kuondoa uozo wa mazoea alioukuta ndani ya CCM, na akasema anawataka kina Bashiru wengi ndani ya CCM.

Unapolaumu ujio wa Dr. Bashiru ndani ya CCM unaonekana hujui hata sheria za vyama vya siasa, ulitaka CCM wamtenge Dr. Bashiru kwa sababu gani? utambue kila mtanzania anatakiwa kujiunga na chama chochote cha siasa akipendacho, hiyo ni haki ya kila mmoja, usiendekeze siasa za makundi ndizo zinazoitafuna nchi.

Unaigeuza CCM mali ya watu binafsi ndio maana sasa wamejaa viburi, majibu ya dharau, na kuteuana kwa kujuana, kumbe tatizo ni letu wenyewe tunalea huo ujinga bila kujua.
Hata kama alikuwa na nia nzuri basi angefuata mchakato wa chama namna ya kumpokea mwanachama mpya. Ila kumleta mtu ambaye hajui chochote kuhusu chama na kumpa majukumu makubwa vile ilikuwa ni UHAYAWANI
 
Sijui kama umeitazama hiyo video na kuielewa vizuri, Magufuli alikuwa very clear kwanini alimpeleka Dr. Bashiru CCM, anasema alimpeleka ili kuondoa uozo wa mazoea alioukuta ndani ya CCM, na akasema anawataka kina Bashiru wengi ndani ya CCM.

Unapolaumu ujio wa Dr. Bashiru ndani ya CCM unaonekana hujui hata sheria za vyama vya siasa, ulitaka CCM wamtenge Dr. Bashiru kwa sababu gani? utambue kila mtanzania anatakiwa kujiunga na chama chochote cha siasa akipendacho, hiyo ni haki ya kila mmoja, usiendekeze siasa za makundi ndizo zinazoitafuna nchi.

Unaigeuza CCM mali ya watu binafsi ndio maana sasa wamejaa viburi, majibu ya dharau, na kuteuana kwa kujuana, kumbe tatizo ni letu wenyewe tunalea huo ujinga bila kujua.
Hilo unaloliambia linakichwa kikubwa akili ndo empty set ,kila kitu nichukichuki tuu kwa marehemu,hakuna atakachoelewa.
 
Kuna kipindi ambacho CCM ilijaa kiburi na ubabe kama kipindi cha Magufuli?
Kama ni kutekana kulianzia kwa kina Ulimboka, na kuuana, mwenyekiti wa CDM Usa River Arusha akachinjwa kwa chain saw, hapo kwa Magufuli ulikuwa ni muendelezo tu.
 
Back
Top Bottom