denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hivi kwani kuwa mwanachama wa CCM lazima uende shule?!Hata kama alikuwa na nia nzuri basi angefuata mchakato wa chama namna ya kumpokea mwanachama mpya. Ila kumleta mtu ambaye hajui chochote kuhusu chama na kumpa majukumu makubwa vile ilikuwa ni UHAYAWANI
Hizo ilani zao na taratibu zao nyingine si zipo kwenye vitabu kila siku wanazisoma, kwani hao waliozeekea huko CCM wana kipi cha tofauti kuwashinda waliokuja kama sio ufisadi na kuiba kura tu?
Magufuli achukiwe kwa sababu za msingi, sio hizi za kuokoteza okoteza tu na kumtupia.