Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtafute JK akushauri. Kupata kura ni kitendawili kikubwa.Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani.
View attachment 1577335
Acha majunguAmelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Wapinzani wana edit picha zao. Huku mgombea urais kwa tiketi ya Ccm ana chezeshwa miziki ya kipuuzi na wasio jua kusoma na kuandika. Shikamoo TL.. Shikamoo Chadema. Jamaa pumzi ina kata..Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.
View attachment 1577288
View attachment 1577289
View attachment 1577330
Kampeni hizi raha Sana Yani mzee kaamua kugeuza kofia kishikaji zaidi, kweli yajayo yanafurahisha tutayaona mengi ,Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wa 'Tanzania ya sasa' uliombwa na msanii Zuchu ukipongeza juhudi zake alizozifanya kama Rais na chama chake cha Mapinduzi kuibadilisha Tanzania.
View attachment 1577288
View attachment 1577289
View attachment 1577330
Roho inakuuma hatare.Amelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Jembe ulayaJembe hilo...
mim ni Cdm ila kwa hil nakupinga.ndege ndio alama na nembo yetu.Jiwe siku akituambia ndege zetu zinabeba watalii kutoka wapi ?,na Ulaya ,Canada na USA haziend kwenye watali wengi .Nitampa kura yangu.