KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Na bado kuna watu hawawezi kuelewa maelezo rahisi kama haya!
Asimamie ukweli kuwa Tanzania hakuna Korona ila yeye alipata maambukizo ya kupumua kutokana na aleji ya maua ya embe na hakuna sababu ya kuvaa barakoa.
Mkuu wangu:Wakati na bahati hupata kila mmoja, ila neema ya Mungu hutupitisha mahali tusipo dhani tunapita!
Sifa na utukufu ni vyake yeye, sio kwamba mh anasali sana, sio kwamba anamjua Mungu sana, ni neema yake Mungu yeye kuwa mzima na kusudi la Mungu litimie!
We jamaa... Hebu soma ulichoandika halafu comment kama binadamu aliyeumbwa na Mungu.Maombi ni uhuni ama utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kinachoitwa maombi kinaweza kumsaidia binadamu.
Sidhani kama umeelewa kilichoandikwa hapo , watu wanaongelea Mask kukaa na kufunika vizuri pua na mdomo wewe umekuja na habari nyingine kabisa
Mkuu badala ya mask tuweke zuio la kuongea kwa mwezi mzima
Ni nini kimekufanya udhani sijaelewa.Sidhani kama umeelewa kilichoandikwa hapo , watu wanaongelea Mask kukaa na kufunika vizuri pua na mdomo wewe umekuja na habari nyingine kabisa
Hii nayo ni story???Waziri wa Fedha Dkt Philip Mpango amerejea kazini baada ya kulazwa kwa wiki kadhaa
Kaacha kukohoa na kulia/kutoa machozi??Waziri wa Fedha Dkt Philip Mpango amerejea kazini baada ya kulazwa kwa wiki kadhaa
Angalizo tu Ambulance isikae mbali nae.Waziri wa Fedha Dkt Philip Mpango amerejea kazini baada ya kulazwa kwa wiki kadhaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma.
Amerejea na kuanza kufanya kazi ndogondogo huku akimshukuru Mungu kumponya na maradhi
CDC unfortunately iko compromised na wanasiasa. Hili gonjwa la Covid lina ugonjwa, siasa na biashara ndani yake. Bahati mbaya watu mnaangalia ugonjwa tu na hamuoni sehemu mbili zilizobakia. Na hapo ndio wengi wataumia.Hiyo mbona irrelevant!
Humo CDC wana insist, lakini Politicians ndiyo wanaotangaza to put to an end with the aim of reopening and and getting back to normal.
Sasa sijui ulilenga ku prove nini hapo.!