UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Ama kweli Mungu mkubwa, CHADEMA walitutangazia kabisa kuwa huyu jamaa keshakata kamba! Ahimidiwe mungu wa mbinguni anayejua kuwaumbua waongo, wanafiki, na wazandiki.Kama havai barakoa ikirudi tena inamzoa mwambieni huu ugonjwa unapenda vigogo.
Kila mtu anavuta ila haifanyi reaction yoyote mwilini inatoka hivyo hivyo ilivyoingia.Wewe unavuta Nitrogen?
Utamwona tu mkuuNi siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
ohoooI heard kuna Msiba wa Minister umetokea but utakuwa released in few days a head after buried of Jp
Anatokea mkoa gani au ana hulka gani?I heard kuna Msiba wa Minister umetokea but utakuwa released in few days a head after buried of Jp
Kigogo pia ametoa hzo hints ndo na Mimi nikaja niulizie Wazir wangu kipenz kama anaonekana onekana kitaaaI heard kuna Msiba wa Minister umetokea but utakuwa released in few days a head after buried of Jp
Ni mtu wa Kigoma , Ila mwl Nyerere alituasa tusiulizane makabila mkuuAnatokea mkoa gani au ana hulka gani?
Kwa kweli hata Mimi suala la makabila nikishapishana nalo.Ni mtu wa Kigoma , Ila mwl Nyerere alituasa tusiulizane makabila mkuu
Kwani Mpano ni nani? Hujui kuwa baraza jipya la mawaziri litaundwa?Wako kwenye mipango mingine kwaajili ya taifa hili
ππ£π£π£π£
Utamuona kesho bungeni!Ni siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
Yule mteja wa samaki changu wenye madoadoa?Mbona Joji hamumuulizi,anatajwa vibaya sana