Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Kati ya Mh Lissu na Mh Majaliwa nani Kilaza/Mzushi?? Image ya ccm iko kwa Chalamila (RC Mbeya)
 
Mmeanza tena, mnakera ninyi mfyuuuuuu!
 
Mbona jana alionekana kanisani na wakati wa kuaga alionekana.Afu yupo fit sasa hivi kwa jinsi anavoonekana.
 
Na mara 1000 magufuli angeongezewa tu miaka ya utawala ila siyo huyo mpuuzi🀣
Au bora tusiwe na VP abaki Samia Suluhu pekee yake halafu likitokea jambo baya bc tuingie kwenye uchaguzi
 
Yule Mpemba haibiwi kura, wote waliopita bila kupingwa wamepata upepo wa kisulisuli na wengine wanakufa bila kupingwa.
 
Kati ya Mh Lissu na Mh Majaliwa nani Kilaza/Mzushi?? Image ya ccm iko kwa Chalamila (RC Mbeya)
Kwahiyo kwa zile fikira za Lissu kwenye twitter yake zilizojaa maudhui ya chuki na visasi kwa CCM na wafuasi wake, ndo mnategemea sikumoja CCM itakubali aongoze hii nchi [emoji848]? Kubalini kwamba wapinzani ntakuwepo sikuzote kwaajili ya kuongea na si kutawala.

Huo ujinga CCM haina, nyinyi kubalini kujipendekeza kama mlivyoanza Sasa hivi, eti oooh mama yetu, mwendo ni uleule,VP ni NDUGAI au BASHIRU[emoji28].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…