MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Labda walikuwa na
Wako na utani wa kijinga Hawa, ila Meck ni muhuni muhuni sana😂😂😂😂
mbona unajichanganya kama hawaleti timu uwanjani sasa match inapigwaje tenaWakuu
Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho.
Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE hapa: Simba SC VS Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025
Vp ile timu ambayo ikikutana na timu hizi vikosi hubadilishwa wachezaji wengi wa vikosi vya kwanza huwekwa benchi?Dodoma Jiji msiwaige Simba, Simba wanabebwa na bodi ya Ligi ata ao marefa wanao wabeba Simba ni kwa mwongozo wa bodi ya ligi ndio mana wanao uwezo wa kuibeba Simba na ukiongea juu ya ao Marefa unapigwa Rungu na Bodi ya ligi.
Dodoma Jiji kachezeni mpira tunajua ata mechi ya kwanza Simba waliwafunga kwa penalty ya makosa ya kibinadamu.
Dodoma Jiji kachezeni mpira tunafahamu ata iyo nfasi ya pili Simba hawakustaili kuwepo kwakua makosa mengi ya kibinadamu yaliwabeba Simba.
Sisi wadau tunajua Simba ni kama Tembo aliyepandishwa juu ya mti sasa Bodi inajitahidi kuendelea kumweka pale asidondoke.
Dodoma jiji wala msiende kucheza maana hamna la kupoteza kwa asimilia kubwa mnajuwa mtafungwa sasa hili wacha bodi ya league wapambane na hali zao umewaweka kwenye mtego mkubwa watoe hukumu sasa wakisahau kuwapa point Simba tu hapo Mavunde atapata cha kuwapigia bodi ya league.Dodoma Jiji msiwaige Simba, Simba wanabebwa na bodi ya Ligi ata ao marefa wanao wabeba Simba ni kwa mwongozo wa bodi ya ligi ndio mana wanao uwezo wa kuibeba Simba na ukiongea juu ya ao Marefa unapigwa Rungu na Bodi ya ligi.
Dodoma Jiji kachezeni mpira tunajua ata mechi ya kwanza Simba waliwafunga kwa penalty ya makosa ya kibinadamu.
Dodoma Jiji kachezeni mpira tunafahamu ata iyo nfasi ya pili Simba hawakustaili kuwepo kwakua makosa mengi ya kibinadamu yaliwabeba Simba.
Sisi wadau tunajua Simba ni kama Tembo aliyepandishwa juu ya mti sasa Bodi inajitahidi kuendelea kumweka pale asidondoke.
Una mimba ya GSM?GSM ndio mfadhili wao......
Nina mimba ya mama akoUna mimba ya GSM?