Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

Ok
 

Attachments

  • FB_IMG_1741954553099.jpg
    FB_IMG_1741954553099.jpg
    127.2 KB · Views: 1
Dodoma Jiji msiwaige Simba, Simba wanabebwa na bodi ya Ligi ata ao marefa wanao wabeba Simba ni kwa mwongozo wa bodi ya ligi ndio mana wanao uwezo wa kuibeba Simba na ukiongea juu ya ao Marefa unapigwa Rungu na Bodi ya ligi.
Dodoma Jiji kachezeni mpira tunajua ata mechi ya kwanza Simba waliwafunga kwa penalty ya makosa ya kibinadamu.

Dodoma Jiji kachezeni mpira tunafahamu ata iyo nfasi ya pili Simba hawakustaili kuwepo kwakua makosa mengi ya kibinadamu yaliwabeba Simba.

Sisi wadau tunajua Simba ni kama Tembo aliyepandishwa juu ya mti sasa Bodi inajitahidi kuendelea kumweka pale asidondoke.
Aibu naona mie. Poleeee

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom