Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

100% Fact
 
2000 has entered the chat😂🤣
Wamekuja kufanya come back. Ila sometimes madogo wana hoja. Unakuta wadingi wa age ya Warioba wanasakama madogo wa 2000 kwa kushindwa kuchukua action kupigania masilahi ya nchi mfano sheria mbovu tulizonazo.

Unabaki unajiuliza hizi sheria zilipitishwa kipindi wao ni watu mzima, na madogo hata hawajaliwa, sasa kwanini hawakuchukua hatua kuanzia mwanzo kabisa ili mswaada usipitishwe from the first place.
 
Labda kwa kuwa madogo wanavuta bangi hawaogopi😁😁
 
Hawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.
Nyie mbona mlishindwa kudai haki zenu 😹
 
Hawa madogo wakidai haki zao nyingine za msingi kama hivi wataikomboa nchi. Yaani hapo wangekuwa wanaandamana kudai ahki zao anabishana na polisi inegependeza sana.
Wako busy kudai haki ya mbususu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hii video ilipostiwa mwaka jana hapa hapa jamii forum. Naona imerudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…