Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

Hapo ishu siyo demu.
Dogo hataki dharau.
Bora afe kuliko kudhalilishwa na kuonewa. Hiyo ni true masculine instinct.
Lion's heart, a quest to defend his territory and dignity. A quest to defend his honour.
Huyo siyo wale unavamiwa na vibaka unakimbia familia yako.
Bora kufa.
Mh
 
Baba muongo wewe 😹😹
Unataka kusema enzi za mwalimu mlikuwa na maisha mazuri, kwamba veggies walikuwa wanawapa good life?
Maisha yalikuwa mazuri sana. Imagine nimesoma na mtoto wa Rais,waziri mkuu,spika,JM,mawaziri kadhaa na watoto wa tajiri namba 1 kwa watanganyika kwenye shule ya serikali wewe leo mtoto wako ili asome na mtoto wa waziri tu inabidi utafute shule ya ada 10+m
 
Lakini ukumbuke hayo maisha hayakuwa kwa wote..!! Wewe umeweza kusoma nao lazima mzazi wako alitengeneza kitu katika maisha yake.!
 
Lakini ukumbuke hayo maisha hayakuwa kwa wote..!! Wewe umeweza kusoma nao lazima mzazi wako alitengeneza kitu katika maisha yake.!
Hapana maisha yalikuwa sawa kwa wote. Wazazi wangu walikuwa watu wa kawaida kabisa. Wazee na viongozi wa zamanj hawakuwa selfish and greedy kama hawa wa sasa.
 
Hii video ilipostiwa mwaka jana hapa hapa jamii forum. Naona imerudiwa
 
Ningekuwa mwamba nambeba dogo nampeleka ubanda akakutane na nyapu apige mpaka achubuke
 
Back
Top Bottom