Nikupoteza muda inaoneka hujui hata dini gani ilikuwa ya kwanza kurasimisha kitabu chao, kulikuwa na versions ngapi, na hakina nani walikuwa wanachagua version zipi ziwekwe.
Not sure kama hata ushawahi sikia kuhusu ‘dead sea scrolls’.
Huko kwenye science na hiyo hadithi ya Sheikh wako hata nikikwambia time ni relative uwezi elewa ‘siku moja ya Venus inachukua muda mrefu (going into its rotation) kuliko Venus inavyozunguka jua’.
Milkway ina nyota zaidi ya billion moja nyingi uzioni bila ya powerful telescope, nyota unazoziona angani kwa macho yako ni kama 10% ya nyota zote zilizopo milkway, kwa ‘Drake Equation’ potential ya life Milkway tu ni kama 5% ya nyota (sasa chukulia nyota billion moja).
Milkway ni galaxy moja kati ya trillion, sasa kama hujui hata msingi wa vitabu vya dini tu, I dont have the time to discuss matters which require somewhat eclectic knowledge ya kusoma vitabu vya dini, religious archeology, normal archeology, history, philology, astrophysics na cosmology.
Wewe hujui lolote zaidi ya ujinga na matusi tu