Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu?
Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual adjustment au nibadirishe software au nitulie tu na LUTs za watu?
Kama necessary narecord kwa iPhone na Action 4.