Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza;

🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza

🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi

🎤Ipi yaweza kuwa sababu ya mtu kunywa pombe kupitiliza

🎤Tafiti zinasemaje kuhusu hali ya unywaji wa Pombe ku
pindukia

🎤Athari anazoweza kupata mtu moja kwa moja kwa kunywa pombe kupitiliza, pamoja na athari kwa jamii yake

🎤Kwa namna gani jamii inaweza kukabiliana na tabia ya unywaji Pombe kupitiliza

🎤Ujumbe wa kuiachia jamii ya Njombe

Afya ya akili hipo CCM we kama unataka kubisha waangalie mada zao yani muriro anaonyeshwa video kuwa wale askari wake anasema sio askari wake.
uchaguzi unaibiwa alafu mchengerewa anakwambia ulikuwa salama asilimia 100.
wakina lucas na ccm wa JF mada zao unaona kabisa afya za akili.
 
đźš« Alcohol is a silent enemy for men

1. Kills testosterone and weakens erections

2. Lowers drive, mentally and sexually

3. Leads to poor decisions and regrets

4. Affects gains, sleep, and focus

5. Destroys discipline and drains money

👉 Real men protect their edge, not poison it.
 
Ameongea vizuri sana, kweli pombe ni sumu na ni mbaya ila concept ya afya ya akili ni imewekwa kisiasa. Kimsingi ni tatizo la ubongo kuwa na inflammation au itilafu nyingine. Maana akili ni nini? Iko wapi (i.e place where you can find)? Vipi utaitibu hiyo akili?
It's just a frequency like a radio and as antenna. Thus why some people running mad once Clouded.
 
Back
Top Bottom