Video: Fatma Karume Adai Kuna Sustemic Failure Ndiyo Maana Wananchi Wanamfuata Makonda

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu.

Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa huyo nyami bafala kufufua mifumo na instruments anajipa kazi ya mifumo yeye.....ataweza hizo kazi za kila siku....za kuendesha nchi kupitia mifumo yeye anatumia masaburi nyami...kutenda na kufikiri tunamsubiriii tuone mwisho wake.......condom....eti ametumwa kura!!
 
Tz watu wataalamu wa kuongea bila vitendo ni maelfu kwa maelfu, wakati mkiendelea kumshangaa makonda yeye anaendelea kufanya kweli! Shauri yenu!

Mara paap! 2025 ile pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…