Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Sio ya Magufuli tu! Aseme ya wote ata mzee kurume kumuua Hanga pia aseme na unyama alioufanya kule kwao, pia asimsahau mzee Kikwete kwani Dkt Mvungi, Mwagosi ata wakina Dkt Ulimboka pia yasemwe au hayo hayakuwa madhira yaliyowakuta wenzetu? Kwanini yaonekaa ya Magufuli tu?
 
She should began to highlight the original sin…the beginning of dictatorship who you called her grandfather….and then points to the others who she think they did wrong to her interest and her family period! She is not even madam…spinster
 
Nadhani katika post zote hii Ni kuweka kumbukumbu. Umejibu umemaliza. Asante Sana. RIP BEN, AZORY, COCO BEACH SANDARUSI
 
Nadhani katika post zote hii Ni kuweka kumbukumbu. Umejibu umemaliza. Asante Sana. RIP BE AZORY, COCO BEACH SANDARUSI
Great! Eti mtu kwa kukosa madaraka anaanza kuchafua hali ya hewa ya nchi ili watu wafe, creat hate for person gains
 
Sasa tuhitimishe mjadala kwa kupiga kura i.e tuhesabu posts zinazomtetea Magufuli na zinazomnanga, zinazolaani matendo yake aliyoyafanya akiwa hai.
 
Alimuua saa8 bila huruma
 
Eleza wewe unayeelewa
 
Mwendazake alikuwa chuma cha pua hata ukimchafua hachafuki!! the bulldozer@!Magu kajaa mioyoni mwa wabongo kumponda ni kumuongezea umaarufu na Upendo walionao wabongo juu yake!
Chuma cha masikio labda
 
Mlisubiri covid imuue alafu mumsifie. Ha ha ha ha
 
Jamaa alijirundikia maaskari mamia wenye siraha akidhani wanaepusha kifo. Yuko wapi sasa!!?
 
Thank you
 
Huyo kahaba mwenzako mbona haelezi namna babu yake alivyomuua Kassim Hanga na kwenda kumtupa baharini? Anabakia kumsingizia Magufuli. Acha ushabiki wa kishoga utavuliwa chupi sana.
Thank you. Wanadhani sisi ni wajinga.
 
CCM mwanzoni waliona sawa dikteta alipokua anaumiza wasio upande wake 2016,2017,2018 mpaka pale 2019 walipopata ukali wa maumivu na zile audio kuvuja wakimuita mshamba.

Ni tatizo walilolitengeneza wenyewe mpaka siku likawapata na wao ndio kushtuka hakuna upande ulio salama zaidi ya upande wa kusifu tu.
 
Kila nafsi itaonja mauti. He was surrounded with enemies. Hata kumaliza term ya kwanza Mungu alimpigania sana. Cha mhimu ni kwamba ameonyesha watanganyika kuwa tunaweza
Katuonyesha kweli tunaweza jikuta tunaingiza kichaa ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…