Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Hujui maandiko zaidi ya kukariri
 
Anahukumiwa kwa makosa(ushahidi haujaweka)ya baba yake?Kanuni ya wapi hii?
Mara nyingi ni ngum sana kujitenga na makosa aliyofanya mzazi wako especial katika field hii ya siasa,ndo maana hata Mungu alikuwa anatoa laana ya vizazi na vizazi wakati kosa alifanya mmoja.Fatma akitaka baba ake apumzishwe aache kusema baba wa wenzake.
 
Dini iweke pembeni.Hakuna kanuni wala sheria ya kibinadamu inayotoa hukumu kwa makosa ya mtu mwingine.Haipo.
 
KInyago kile sijui nani alikileta kwetu!
 
Dini iweke pembeni.Hakuna kanuni wala sheria ya kibinadamu inayotoa hukumu kwa makosa ya mtu mwingine.Haipo.
Nenda kafuatilie siasa na historia mara nyingi wanasiasa huwa na misimamo sawasawa na wazazi wao maana ndo huwa role modal wao.refer kwa akina Bush na wengine wengi na ndo maana ni ngum sana kupewa nafasi ya uongozi kama mzazi wako aliharibu.
 
Sijui kama umeelewa.Haiwezekani mzazi wako atende/alitenda kosa au kuvunja sheria halafu weye uende Jela au utumikie adhabu badala yake.Watakaokuhukumu watakuwa vichaa.
 
Wafuasi wa jiwe watatoka mapangoni huko wataanza kumtukana hatari, hapo amefanya kufuru kubwa sana kumchafua mungu wao nje ya nchi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jiwe hakuwa kinyago, msemo wa kinyago una maana ya kitu ambacho kinatisha tu ila hakina madhara sasa kuna kinyago chenye kupiga bomu na risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…