imeshinda leo goli tano bila ilikuwa inacheza na sudanHivi matokeo vipi maana toka niugue kwa kipigo kile cha vijana kutoka ndjamena sijapata nguvu za kuifutailia timu yangu hii pendwa.?
====
Update
Aisee...nimeiona hiyo clip-Jamani...huyo dogo wa burudi anatakiwa afungiwe maisha, kama kwa umri mdogo vile anakuwa katili namna hii..akiwa mkubwa si atakuwa anaingia uwanjani na 'viwembe na bisibisi' kwenye pinde za bukta zake!!! . TFF, mchukulie hatua mwamuzi na kamisaa wa mchezo huo...kwa kupeleka ushahidi wa picha CAF wasimamizi wa mashindano haya.
Asante sana mkuu kwa taarifaimeshinda leo goli tatu bila ilikuwa inacheza na sudan
Kaka umeongopa . Nafikiri hiyo mechi hukutazama hadi mwisho au umesimuliwa na mtu ambaye hakutazama hadi mwisho .imeshinda leo goli tatu bila ilikuwa inacheza na sudan
Serengeti boys wameshinda 5-0 nlikuwepo uwanjani nlikosea kutypeKaka umeongopa . Nafikiri hiyo mechi hukutazama hadi mwisho au umesimuliwa na mtu ambaye hakutazama hadi mwisho .
Fuatilia halafu umpe mwenzio jibu la ukweli .
aisee ndio maana mipira ya kiafrika bado bado sana wachezaji hawajengewi nidhamu ya uwanjan kulingana na matendo wanayo fanya humoHata njano hakupewa
Tatizo hata wachezaji wetu hawakuonyesha ku'react'....sijui kepteni wetu alikuwa benchi? maana ni benchi la ufundi tu lililo'react'. Imeniuma sana...! Uongozi wa TFF ya Burundi kama wana hekima, wamfungie huyo kijana miaka mitano jela ya soka. Hii itaonyesha kuwa, hawakumtuma kufanya kitendo hicho. Vinginevyo, watakuwa wametutangazia uadui dhidi ya maendeleo ya soka letu.aisee ndio maana mipira ya kiafrika bado bado sana wachezaji hawajengewi nidhamu ya uwanjan kulingana na matendo wanayo fanya humo
Aliyechezewa hiyo rafu ndo captain.Tatizo hata wachezaji wetu hawakuonyesha ku'react'....sijui kepteni wetu alikuwa benchi? maana ni benchi la ufundi tu lililo'react'. Imeniuma sana...! Uongozi wa TFF ya Burundi kama wana hekima, wamfungie huyo kijana miaka mitano jela ya soka. Hii itaonyesha kuwa, hawakumtuma kufanya kitendo hicho. Vinginevyo, watakuwa wametutangazia uadui dhidi ya maendeleo ya soka letu.
Hii haitakiwi, kukaliwa kimya.
Aisee...yaani imeniuma kweli. Hivi anaendeleaje?Aliyechezewa hiyo rafu ndo captain.