kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Video hii ime trend sana katika mtandao wa instagram Duniani kote Mchezaji wa Man U Antonio Valencia nae amepost kwenye account yake ya Instagram.
Mpaka sasa inaweza ikawa imetazamwa na watu zaidi ya Mil 5.
Ni Mechi ya Tanzania Vs Burundi ya Under 17 Kombe la CECAFA.L
Gumzo ni ufundi wa Mchezaji wa Serengeti Boys na Foul aliyofanyiwa. Wengi wanashangaa Kwanini huyo Beki mpk sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake.
TFF wako kimya