VIDEO: Faulo mbaya aliyofanyiwa mchezaji wa serengeti boys dhidi ya burundi TFF wako kimya

VIDEO: Faulo mbaya aliyofanyiwa mchezaji wa serengeti boys dhidi ya burundi TFF wako kimya

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Video hii ime trend sana katika mtandao wa instagram Duniani kote Mchezaji wa Man U Antonio Valencia nae amepost kwenye account yake ya Instagram.
Mpaka sasa inaweza ikawa imetazamwa na watu zaidi ya Mil 5.
Ni Mechi ya Tanzania Vs Burundi ya Under 17 Kombe la CECAFA.L
Gumzo ni ufundi wa Mchezaji wa Serengeti Boys na Foul aliyofanyiwa. Wengi wanashangaa Kwanini huyo Beki mpk sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake.
TFF wako kimya
 
Attachments

Sasa Mnataka hatua gani zichukuliwe wakati Refa alikuwepo uwanjani! Kwani mechi hiyo ilikuwa ya TFF.

Hivi Salah angekuwa mtanzania kwa kile kitendo alichofanyiwa na Ramos si mngetaka tamko kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Sheria!

Mchezo wa Mpira maamuzi yake sio kama ya Chaguzi za Siasa.
 
Huu sio mpira sasa, nafikiri atakuwa ameonywa
 
Ila aliwachota vizuri. Tz kuna vipaji sana ila hama tu academy serious za kutengeneza wachezaji
 
Hivi matokeo vipi maana toka niugue kwa kipigo kile cha vijana kutoka ndjamena sijapata nguvu za kuifutailia timu yangu hii pendwa.?
====
Update
Aisee...nimeiona hiyo clip-Jamani...huyo dogo wa burudi anatakiwa afungiwe maisha, kama kwa umri mdogo vile anakuwa katili namna hii..akiwa mkubwa si atakuwa anaingia uwanjani na 'viwembe na bisibisi' kwenye pinde za bukta zake!!! . TFF, mchukulie hatua mwamuzi na kamisaa wa mchezo huo...kwa kupeleka ushahidi wa picha CAF wasimamizi wa mashindano haya.
 
imeshinda leo goli tano bila ilikuwa inacheza na sudan
 
imeshinda leo goli tatu bila ilikuwa inacheza na sudan
Kaka umeongopa . Nafikiri hiyo mechi hukutazama hadi mwisho au umesimuliwa na mtu ambaye hakutazama hadi mwisho .
Fuatilia halafu umpe mwenzio jibu la ukweli .
 
ni hatari huyo dogo hakula nyekundu?
 
aisee ndio maana mipira ya kiafrika bado bado sana wachezaji hawajengewi nidhamu ya uwanjan kulingana na matendo wanayo fanya humo
Tatizo hata wachezaji wetu hawakuonyesha ku'react'....sijui kepteni wetu alikuwa benchi? maana ni benchi la ufundi tu lililo'react'. Imeniuma sana...! Uongozi wa TFF ya Burundi kama wana hekima, wamfungie huyo kijana miaka mitano jela ya soka. Hii itaonyesha kuwa, hawakumtuma kufanya kitendo hicho. Vinginevyo, watakuwa wametutangazia uadui dhidi ya maendeleo ya soka letu.

Hii haitakiwi, kukaliwa kimya.
 
Aliyechezewa hiyo rafu ndo captain.
Haya mashindano hayasimamiwi na TFF yanasimamiwa na CAF na ndo wanatakiwa kulaimiwa ka hatua hazitachukuliwa kwa huyu bwana mdogo. Mana ile rafu Sijui refa alikua mbali, ngoja tusubiri CAF watakuja na nini juu ya hili
 
Jamaa ni mcheza mpira au mcheza kareti...baada yakumpiga teke akarudi kumkanyaga tena
 
Mambo ya mpira uishia uwanjani.
Pale hata kama angekufa Yule mchezaji.
Yule aliyecheza faulo.angeachiwa huruuu.
 
Valencia aliichukua kama kichekesho cha kwenye soka tu
Huyo ni nahodha wa serengeti boys na jana kacheza maana yake haikuwa faulo mbaya
 
Back
Top Bottom