Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mababu wengi wa lake zone mwanza, tabora , shinyanga walikataza watoto wao wasifanye izo kazi WAKIZI ITA KAZI YA ""KOLOKOLONI""Namshukuru sana babu kunikata kabisa nisije kusomea kazi ya Upolice.
Tanzania yangu inapotea kwa sababu ya akina Mwamposa.Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.
Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.
Hawa si wameanza juzi tu? Wana shida gani tena?Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.
KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TTanzania) ni kanisa lilionzishwa na Martin Luther baada ya kujitenga na RCHivi utofauti wa hili KKAM na KKKT ni upi?
Maana ndiyo mara ya kwanza nalisikia baada ya kuibuka kwa Tafrani ya Wafuasi wa Gwajima na Poli-CCM
Mpo kwa wapi Dada yangu mpendwa?Wapo sana .tupo hapa
Huwa, wanajiona kama navy seal vile, kumbe ni majinga tu, kitu pekee kinachowapa faraja ni kuona watu wanawaahangaa, na Imani Yao kuwa wanaogopwa Sana na, raia,nje ya mavazi Yao na magari ni kama mapaka yalionyeshewa mvuaPolisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia taarifa za uwezekano wa mikusanyiko isiyo rasmi baada ya ibada.
Tangu asubuhi, askari wa Jeshi la Polisi wamekuwepo katika maeneo yanayozunguka kanisa hilo, wakiwa katika magari ya doria na wengine wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara, wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa shughuli zote katika eneo hilo.
Tupo area hii hiiMpo kwa wapi Dada yangu mpendwa?
Maandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.Wa Tz ni wanafiki sana , wiki nzima wanajaza comment kwenye page ya mangekimambi huku wanaahidi jumapili wote watajitokeza kwenye kanisa la Gwajima kudai haki leo hajatokea hata mmoja
Kawajaribu!Mbona kama hawana ukakamavu
Askari wamedebweda hao, bunduki tu ndio zinawasaidiaMbona kama hawana ukakamavu
That's utopia!Maandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.
Hamna kitu hapoMaandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.
Unaota ukiwa wapi?Maandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.
Mwamakula si Moravian?La Askofu Mwamakula š
Ndoto yako inatisha sanaMaandamano yanakuja, hiyo siku wataamka asubuhi wanakuta watu 2,000 wamefunga barabara Chalinze, kabla hawajakaa sawa wanaambiwa Tunduma kuna wati 1600, Kyela wako 800, Namanga wako 3,000 na kule Rolya wako 2,500.