Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

Yote haya yamesababishwa na Samia kushindwa kuimaliza ujenzi uliobakia kutoka kimara Hadi ubungo.Toka magufuli afariki na ujenzi ukasimama Hadi Leo.Awamu ya sita wanatuhujumu maana miradi yote iliyoachwa na magufuli yote imekufa.
 
Kupunguza foleni kipindi hiki
DART ishirikiane na LATRA ili Mabasi ( Laxury buses) zisaidie hasa wakata wa Asubuhi ( 6.00- 8.00 AM) na Kipindi cha jioni ( 2.00- 8.00 PM) Mabasi ambayo yanangoja ratiba kwenda Mikoani
 
Miradi serikali inakua ishapangwaa mda tu ukiwa rais unaendeleza tu ingekua sio chama kimoja sawaa
 
Huo mji ushakwama tayari, yule jemedari JPM angekuwa hai labda ndio pekee angeweza kuwa na uthubutu wa kumaliza hilo tatizo, wengine hawa wanasukuma siku ziende tu.
 
Back
Top Bottom