Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

Huo mji ushakwama tayari, yule jemedari JPM angekuwa hai labda ndio pekee angeweza kuwa na uthubutu wa kumaliza hilo tatizo, wengine hawa wanasukuma siku ziende tu.
Hii hoja naiunga mkono asilimia mia
 
Natamani kujua kwanino kuna foleni hiyo njia mana barabara ni pana. Foleni huwa inasababishwa na nini??
 
Ujenzi wenyee haueleweki
Unaofanyika

Ova
 
balaa sana tukienda hivi miaka miwili watu watauza magari wanunue bike
 
Back
Top Bottom