VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Hapa kuna kitu ambacho wanawake wengi hawakijui hasa huyo mwenye mume/aliefumania mtazamo wa mwanaume juu ya mwanamke wa kutembea nae ni tofauti na mtazamo wa mwanamke juu ya mwanaume wa kutembea nae, kwa tabia za huyu mwanamke aliefumania ni lazima mwanaume wake achepuke. Mwanamke huwezi tu kua mtata alafu ukategemea mwanaume atatulia na wewe maana utata sio tabia ya kike.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Vicent popote ulipo mke wako amekufumania ukakimbia ukamwacha kimada wako akila kipigo.

Angalia video

View attachment 1457833

Niliona hii video nikamwona huyo mwenye mume bwege, badala adeal na mume wake anampiga kimada akidai sijui ni wa kutembea na mumewe hana hadhi, sasa si adeal na mumewe ambaye hadi anatembea na hao anaodai hawana hadhi.
 
Cheiiiiii[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninavyo kwambia nimeomba sana asinitafute tena lakini Jana tu kanitumia text kwamba

Eti kanimisi mpaka anaumwa anataka nimpelekee moto nimejifanya sijamwelewa

Nina maombi mengine asinitafute hizi siku mbili tatu akinitafuta ataniambia tunafanyaje najua nitaenda kumla.

Na nitamla kwa hasira, sijui anataka nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa hujitambui kabisaa...!! Ukiona unajitoa ufahamu kisa uchi wa mke wa mtu na vihela anavyokupa Jua siku zako zinahesabika. Watu wanalogwa..watu wanauliwaa kisa wake za watu alafu nyie mkiokotwa msituni mmechinjwa watu wanaanza kuwaonea huruma kumbe ni upuuzi wako mwenyewe.


Mke wa mtu ni sumu ndugu wanaosema hivyo sio wajinga wewe kijana wa juzi unajiona shababi akati mume wake akimfukuza aje kwako hata Chupi huwezi mnunulia.. Nasema huyo jamaa ningekuwa ni mimi hakika ungekuwa kilema leo hii maana kukua ningekupunguzia mzigo wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
riko boy punguza jazba mkuu mbona wewe unawala kimasihara, sisi hatuja kumaindi

Akinitafuta nimle namla, boya wake amalizane naye, Mimi hawezi kunifanya chochote

Hata wewe mke wako akikomalia nimle namla, nitafanyaje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu dada kanitia huruma 😢 nani aliwaambia wanawake udhalilishaji ndio unazuia mwanaume kuchepuka. uyo mama ana tabia mbaya sana. Ukimdhalilisha mwanamke mwenzio unajidhalilisha na wewe , usihukumu utahukumiwa yatamkuta tu na yeye makubwa zaidi
 
Back
Top Bottom