VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Dah so sad
 
Huyo mama kama ni mtu wa Mungu mbona anapiga mtu hivyo ?
 
Mimi pia sijui yatakuja nikuta, Kuna huyo mwanamke akijisikia tu ananiambia nimekumiss ananiletea

Nikimuuliza una mtu unaishi naye anakataa, nikitoka kumla maini kesho yake jamaa lake linanipigia simu na kuanza kunitukana, uwa namsikiliza Kisha nakata simu

Sikai Sana mwanamke anipigia simu ananiomba msamaa kwa kutukanwa ananiletea namla Tena [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

My greatest advise kwa wanaume wenzangu don't invest what you can't afford to lose on a woman

Sababu huyu jamaa anamuhudumia huyu mwanamke mixer kushika simu yake lakini Mimi namla bure simpi hata Mia na haniombi na analazimisha nimle yeye, sasa huyu jamaa mwanamme mwenzangu mwenye PhD ya ufala baada ashughulike na mwanamke wake anashughulika na mimi

Mara ya mwisho nilimla kwa hasira Sana huyu manzi na nikampiga biti kwamba siku nikipigiwa simu na kutukanwa naku mind akaseme haitotokea

Hapa naomba Mungu asinitafute ili nikamle tena, maana akinitafuta nitamla tu sitaki ufala kabisa

Namalizia na ushauri kwenye maisha jaribu tafuta mzizi wa tatizo na ulitatue usipende kulaumu na kumtafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe

Wote tutakufa tu siku moja

Made men

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheiiiiii[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods ifuteni hiyo video kwa sababu hii..

WATOTO WAKE WAKIJA KUKUA NA KUIONA HIYO VIDEO MAMA YAO AKIPIGWA NA KUJITETEA NAMNA HIYO WATAHARIBIKA KISAIKOLOJIA NA WATATENGENEZA REVENGE KWA HUYO MAMA MPIGAJI.

Alafu huyo mama mpigaji amevunja sheria kosa la kumshambulia mtu, na hii video ni ushahidi tosha huko mahakamani.
 
Huyo mama anasema anawatoto 3, anatoka huko kuja kupigiwa ndani kwa mwanaume ambaye anamke, je kama angepigwa panga la kichwa, kwanini wasiende nyumba za wageni? Mke asilaumiwe sana mleta uzi mwenyewe mbona kila siku analia mmewe kamtetekeza acha wamdunde kwa kufanya umalaya wakipumbafu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Sasa badala adeal na mume wake muhuni anampiga dada wa watu dah, au ndiye mnnyonge wake, angejuaje kama ana mke kweli wakati kaambiwa hana?. Wanaume muwage wakweli bana ona sasa[emoji57]
Huyo mwanaume atampata wapi wakati kakimbia, na hapo angeachwa bila kupigwa angetamba kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Wewe humjui Mungu mfanyie yakumfanyia uone bakora zake, waulize watu wasodoma na gomora alichowafanya, au jeshi la farao

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Huyo mama mwenyewe kwenye hiyo video anakiri kuwa mme wake ni kicheche mbona anampiga mtoto wa watu hivyo wakati hali halisi ya mumewe anaijua ?

Nimemhurumia sana huyo mama anavyolalamika kwa vipigo dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
93ea5856-052d-47b6-9b15-02507b3571b2.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom