VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Same applies to men, nimezaliwa sipendi hulka za ugomvi. Kukiwa na marumbano nakaa umbali mita zaidi ya mia, maisha ni zaidi ya kuchukiana, kugombana, kutunishiana misuli, kuoneshana ubabe, kuharibiana, kuumbuana, kuzalilishana nakadhalika wakadhalika.

Bi. Kasinde.
upo sahihi dear na siku hizi smart phone hizi watu wanapigana alafu video zinarushwa kesho yake kuanza kuona aibu
 
Hivi wakisema nanga inapaa maana yake nini?

Baharia kazi yake ni kwenye meli, ili meli isimame inahitaji nanga ikamate kwenye mwamba ili meli isipelekwe na mawimbi...

Nanga imekaza??
We Bibi niache..
Nanga yangu imetua kwa Lenie
Toto hilo tamutamu..😉
Nalipenda mbele sioni😅

Lenie huyu kasie ni Bibi yako asikuzingue hata kidogo..
 
Corona sio poa aisee lazima uogope hapa Congo imepita na mtu wa idara ya Mawasiliano ya rais Ikulu, ila kuwa makini na nyungu kasinde wangu maana kuna jamaa alijifukiza mpaka ngozi ikatoka


Asante kwa tahadhari, mapambano ni makali, nachukua hatua stahiki.
 
Of course Inatakaga ujasiri sana,kukupiga hujui mtu mwisho wa hasira zake,anaweza hata kukuchoma moto...
Shida ndio hyo maana tunatofautiana kiwango cha hasira. Bora mtu utulie tu na mkeo/mumeo au kama umeshindwa sana basi kachepukie mbali huko, mwenzako hata asihisi kama umetoka nje
 
Yaani mimi nisingekubali kupigwa namna hii. Wallah ningekunya hapo nikampaka hayo mavi huyo the so called mke. Akapambane na kitombi wake. Mimi nimetongonzwa tu,upumbavu wa mmewe. Halafu inaonyesha mmewe kitombi sana maana kauliza kama number inaishia 26 kumbe hapana. Inaonekana mmewe na michepuko wengi.
Mimi mwanaume wa hivi kitombi namuacha mara moja.
Utagombana na wangapi ?Bora niwe alone kuliko kuwa na mme kitombi.
 
We Bibi niache..
Nanga yangu imetua kwa Lenie
Toto hilo tamutamu..😉
Nalipenda mbele sioni😅

Lenie huyu kasie ni Bibi yako asikuzingue hata kidogo..

Sasa mbona swali umelihamisha na kutoa majibu ambayo hayakuwa na swali....

Unaonesha dalili zote siku ya siku utakimbia kama Vincent wewe aahahahahahhaa.

Hongera kwa kupata mke, umtunze na kumpenda kiasi kila akitaka kuchepuka aghairi...
 
Shida ndio hyo maana tunatofautiana kiwango cha hasira. Bora mtu utulie tu na mkeo/mumeo au kama umeshindwa sana basi kachepukie mbali huko, mwenzako hata asihisi kama umetoka nje
Mfano hii video,Huyu mfumanizi anaonekana mcha mungu,hasira zake zilipungua kutokana na majirani kumuombea msamaha,hata huo mtaa wanaoishi wanakiwango Fulani cha ustaarabu,HIVI ITOKEE HII USWADHI,HATA NGUO ASINGEKUWA NAYO HIYO
 
Vicent amezingua sana, huwezi kumpeleka mchepuko nyumbani kwako unapoishi na mkeo huo ni ujinga.
 
Mimi pia sijui yatakuja nikuta, Kuna huyo mwanamke akijisikia tu ananiambia nimekumiss ananiletea

Nikimuuliza una mtu unaishi naye anakataa, nikitoka kumla maini kesho yake jamaa lake linanipigia simu na kuanza kunitukana, uwa namsikiliza Kisha nakata simu

Sikai Sana mwanamke anipigia simu ananiomba msamaa kwa kutukanwa ananiletea namla Tena [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

My greatest advise kwa wanaume wenzangu don't invest what you can't afford to lose on a woman

Sababu huyu jamaa anamuhudumia huyu mwanamke mixer kushika simu yake lakini Mimi namla bure simpi hata Mia na haniombi na analazimisha nimle yeye, sasa huyu jamaa mwanamme mwenzangu mwenye PhD ya ufala baada ashughulike na mwanamke wake anashughulika na mimi

Mara ya mwisho nilimla kwa hasira Sana huyu manzi na nikampiga biti kwamba siku nikipigiwa simu na kutukanwa naku mind akaseme haitotokea

Hapa naomba Mungu asinitafute ili nikamle tena, maana akinitafuta nitamla tu sitaki ufala kabisa

Namalizia na ushauri kwenye maisha jaribu tafuta mzizi wa tatizo na ulitatue usipende kulaumu na kumtafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe

Wote tutakufa tu siku moja

Made men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyungu unapiga na wewe?

Aahahahahaa Baba Bataringaya yaani wiki ya tatu sasa napiga nyungu, majani na mizizi nimeletewa kutoka Mleba, Bukoba kumbe bana ni nshutama....

Sina hamu kila mara najiskia niende Bukoba tuu, sijui nimelengeshwa kwa nani....
Hapa nimejifunga pingu nisitoke nje ya nyumba maana nikitoka tuu location itasoma Mleba....

Mabungo yangu yapo??
 
Mfano hii video,Huyu mfumanizi anaonekana mcha mungu,hasira zake zilipungua kutokana na majirani kumuombea msamaha,hata huo mtaa wanaoishi wanakiwango Fulani cha ustaarabu,HIVI ITOKEE HII USWADHI,HATA NGUO ASINGEKUWA NAYO HIYO
Angekua mcha Mungu kweli, asingemdhalilisha mwanamke mwenzake hivyo na kumpiga kwa kosa la mumewe
 
Mwenye video na mimi nione basi

kIongOzI Wa BaaDae
 
Back
Top Bottom