VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Na hapo bado kuna hiyo namba inayoishia na 26 ambayo sio yake. Sasa atapiga wangapi? Mwisho akutane na kiboko yake atenguliwe kiuno.

Atafute mwanasheria amfungulie huyo mwanamke mashtaka kwa kumpiga na kumdhalilisha.
 
Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Acha tu dada angu, mimi kuna demu nimemwambia sina mke, nachepuka nae miezi sita sasa, sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp. kaona kauliza huyo nani? nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23], akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu, hapa nahangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe, nimesikitishwa na hii video, itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu dada angu,mi kuna demu nimemwambia sina mke,nachepuka nae miezi sita sasa,sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp.kaona kauliza huyo nani?nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23],akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu,hapa naangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe,nimesikitishwa na hii video,itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahah umenichekesha kweli hapo kumuweka mchepuko kwenye WhatsApp dp, mtihani huo lol
 
Sijawahi fumaniwa au kufumania,ila huwa nashangaa sana why we alwaz deal with the victim and not mhusika? Mama umemfumania mumeo nyumbani kwako,amekimbia,unampiga mwenzako kama hivyo,unajua aliambiwaje mpaka akaja hapo nyumbani? Au mume unamfumania mkeo na mwanaume,unagombana na mwanaume mwenzako,kwa nn usipambane na mkeo ambaye ndo anajua uhalisia wa uhusiano/ndoa yenu? Najiuliza sipati jibu
 
Vicent popote ulipo mke wako amekufumania ukakimbia ukamwacha kimada wako akila kipigo.

Angalia video

View attachment 1457833
Huyo mke wa vicent alitakiwa adili na vicenti!
Aliyepigwa akatafute mwanasheria amshitaki huyo anayempiga! Kama huyo mke kamkuta huyu na mmewe kuna taratibu za kufuata sio kumpiga mtu. Liwe funzo kwake pia
ushahidi upo!
 
Acha tu dada angu,mi kuna demu nimemwambia sina mke,nachepuka nae miezi sita sasa,sasa leo nimejichanganya nikamueka wife whatsapp dp.kaona kauliza huyo nani?nikamwambia dada angu [emoji23][emoji23],akanitumia picha yake, kasema toa hiyo weka hii yangu,hapa naangaika kumuweka ile staili awe anajiona mwenyewe,nimesikitishwa na hii video,itabidi nimuache tuepukane na hiki kikombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mazuri ila yanachekesha, sasa mkuu ona tabu unayoipata
 
Wanawake wengi mi huwa nawashangaa Unamfumania mumeo una komaa na uo mchepuko haya nu matumizi mabaya ya Akili na Nguvu..utapigana na Wanawake Wangapi?

Pambana na Mumeo sio Mwanamke mwenzio ata yeye alitongozwa kama Wewe.
 
Lucas Mobutu ,kuna mwingine alivyofumania aliwaacha tu akapita zake,zikpita siku2 Bilal kusemeshana na mkewe, akanunua panga jipyaa,akawa anahakikisha analinoa kila siku asubuhi mbele ya mkewe,akimaliza Kulinoa analiweka Chini ya mto,kwa kipindi cha week moja mkewe alifungasha virago mwenyewe,Jamaa alishtuka anapigiwa simu na wakwe zake,alipofika ukweni,akawaambia mtoto wao awasimulie kilichotokea,wife alishindwa,wkaachana mazima
 
No wonder mume kacheat, dealing with a pschopath inahitaji wito.
Pumbavu sana, jimke ndo hili hata mi nachepuka, unakuta linaongea 24/7 'limachame hili, nilikua na mmoja anaongea hivi akasingizia nalala na hg kwa visu.
Mi nikala hg kikweli ila sikuwai kumgusa before. Aisee katoto kalikua katam sana🙂
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Wanawake wengi mi huwa nawashangaa Unamfumania mumeo una komaa na uo mchepuko haya nu matumizi mabaya ya Akili na Nguvu..utapigana na Wanawake Wangapi?

Pambana na Mumeo sio Mwanamke mwenzio ata yeye alitongozwa kama Wewe.
Hapa na ushahidi wa kesi kautengeneza mwenyewe! Inflicting Bodily injury.
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Back
Top Bottom