Aki nadeal na wewe, yeye ntamtimua tu mbio maana ntakua na hasira nisije ua mwanamke mwenzangu kwa tamaa zakoSijui tu siku hiyo utamfanyaje..😅
Na kumdhalilisha pia, amemfanyia cyber bullying maana kamrekodi na kusambaza.Hivi hawezi kushtakiwa kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili?!
kabisa mkuu, Mwanamke anapofikia hatua ya usaliti hapo hakuna jinsi zaidi ya kumuacha kwa amani kabisaKupiga unaweza ukaangusha mtu akazima burpee,ikaja kesi Mpyaa au kuozea segerea,unaacha watoto wako wanateseka,isitoshe hao uliowafumania wakaendelea vizuri tu na life,UJASIRI NI KUPOTEZEA
Mi ntaishia kukukimbia pia maana sijui nani alikufundishaga kupiga mapigo ya sehemu moja huku kwenye dyudyu tu!!😅Aki nadeal na wewe, yeye ntamtimua tu mbio maana ntakua na hasira nisije ua mwanamke mwenzangu kwa tamaa zako
kasinde dear ulikuwa wapi ? ulipotea sana nime miss vituko vyako
kweli ,nimemuonea huruma sana huyo Mwanamke anayepigwaAdili na mme wake...
Corona sio poa aisee lazima uogope hapa Congo imepita na mtu wa idara ya Mawasiliano ya rais Ikulu, ila kuwa makini na nyungu kasinde wangu maana kuna jamaa alijifukiza mpaka ngozi ikatokaNipoo, Covid 19 na nyungu vimenifichaa...
Mambo nayofanya Mimi ni kibaharia..
Huko si ndio panakupa jeuri so na mimi nakomaa napo hadi uache hyo tabiaMi ntaishia kukukimbia pia maana sijui nani alikufundishaga kupiga mapigo ya sehemu moja huku kwenye dyudyu tu!!😅
Badala hata unipige vichwa we iwe ngumi,teke au kichwa vyote vinaelekea huku 😅😅
Pepo utaisikia tu mke wangu..
Huyu MTU wangu Wa nguvu na Mimi huwa nawaza hivyo, nikikufuma na mke wangu ujue Huyo Wa kwako kuanzia SAA hiyo hiyo wala sina haja ya kupigania Mwanamke, nakuachia.kuna jamaa nilimkubali sana,alimkuta mkewe kitandani na mwanaume mwingine wala hakufanya vurugu akamkabidhi mkewe kwa mwanaume aliyelala nae
Mkuu mitandaoni huko hii ndio imekua tabia ya watanzania,juzi kuna jamaa alimnunua binti fulani sasa wameingia Hotelini jamaa akaficha funguo za chumba wakalala,alfajiri binti akaiba simu na pesa ile anaenda kufungua mlango atoke si jamaa akaamka akaanza kumpiga huku anamrecord binti hana nguoHalafu unaongezea na kosa la udhalilishaji, inahuzunisha sana alichofanyiwa huyo mama, imagine watu wake wa karibu wakiona watajisikiajae? Na mpaka muda huu watakua washaona tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeshangaa hapo pa kumpeleka mchepuko nyumbani anapoishi na mkewe, kwel sijaelewa Vicent alikua na maana gani😂vipi?? video imetolewa?? dada wa watu ana heshima kweli anaonekana yuko genuine, no wonder Vicent akaona anafaa kupelekwa nyumbani... 😅 😅 😅
kabisa mkuu, Mwanamke anapofikia hatua ya usaliti hapo hakuna jinsi zaidi ya kumuacha kwa amani kabisa
kabisa mkuu,ma ugomvi mwishowe mtu asukumwe afe familia ipate tabuHuyu MTU wangu Wa nguvu na Mimi huwa nawaza hivyo, nikikufuma na mke wangu ujue Huyo Wa kwako kuanzia SAA hiyo hiyo wala sina haja ya kupigania Mwanamke, nakuachia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course Inatakaga ujasiri sana,kukupiga hujui mtu mwisho wa hasira zake,anaweza hata kukuchoma moto...Daah me bora unidunde nijue moja kuliko hyo kitu alimfanyia😂😂