positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
Dunia imeisha, Dunia inatikisika, kama ni hivyo jamaa alipanga amdhalilishe huyo binti, makosa ya mtandao kama hayo ndio yakudeal nayo, sio wanahangaika na kina Idris kwa makosa yasio na mashikoMkuu mitandaoni huko hii ndio imekua tabia ya watanzania,juzi kuna jamaa alimnunua binti fulani sasa wameingia Hotelini jamaa akaficha funguo za chumba wakalala,alfajiri binti akaiba simu na pesa ile anaenda kufungua mlango atoke si jamaa akaamka akaanza kumpiga huku anamrecord binti hana nguo
Sent using Jamii Forums mobile app