Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
hii nimeipenda mkuu,mimi huwa kila siku nasema siwezi kumpiga Mwanamke kisa amechepuka ila watu humu wananipinga wanasema nisubiri ndoa ndio nitaelewaLucas Mobutu ,kuna mwingine alivyofumania aliwaacha tu akapita zake,zikpita siku2 Bilal kusemeshana na mkewe, akanunua panga jipyaa,akawa anahakikisha analinoa kila siku asubuhi mbele ya mkewe,akimaliza Kulinoa analiweka Chini ya mto,kwa kipindi cha week moja mkewe alifungasha virago mwenyewe,Jamaa alishtuka anapigiwa simu na wakwe zake,alipofika ukweni,akawaambia mtoto wao awasimulie kilichotokea,wife alishindwa,wkaachana mazima
yani nikioa afu Mwanamke achepuke naweza kutumia mbinu hii aondoke mwenyewe tu